Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 638
- 1,902
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali