Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote.
Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati.
Ni katika...
😅
Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku
Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita.
Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025.
Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi.
Mwanzoni kabisa, msimamo...
Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena.
Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia
Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie
Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi
Dominica njema
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.
Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi!
Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana.
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi.
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM.
Maalim Seif kule ACT Wazalendo.
Chama pale Simba SC.
Mbowe hapo Chadema nk.
14 February 2023
TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU
GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi.
Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo.
Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata...
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.
Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.
Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
Ndugu zangu watanzania,
Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha.
Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.