Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake
Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani!
Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA makali yake na si vinginevyo.
Na hayo, M/kiti chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, alionywa, ila baadhi ya mambo aliyaficha hakuyaweka wazi mbele ya viongozi wenzake kuhusiana na yale yenye msingi. Katika mpatano huo wa vyama hivi viwili CCM na CHADEMA.
Ni yale yale viongozi wenzake ambayo walionya kuwa yanahatari ya kukivunja chama na kukidhofisha makali yake kama chama kilichojijengea heshima kubwa kwa jamii kuwa ni chama cha kipekee na chenye kusimamia haki daima, msimamo thabiti n.k, walewale walioshauri na kuonya dhidi ya mapatano hayo feki, sasa wanatoka kuhoji kwenye majukwaa huku M/kiti akiwa hana pa kuanzia
Kuna vyama bila watu wenye misimamo dizaini ya Lissu, Kesho asubuhi kinakuwa siyo chama cha upinzani tena bali ni CCM b"
Naomba sana Lissu afukuzwe CHADEMA na Lissu aunde chama Chake na kiwe chama cha watu wenye msimamo wa kama yeye.