Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi.
Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
Msaada,
Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
Ama kweli Duniani kuna mambo. Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 watolewa.
Madaktari nchini Kenya wamemfanyia upasuaji Bi. Felister Namfua (36) na kutoa wembe wa upasuaji uliosahaulika ndani ya tumbo kwa muda wa miaka 11.
Bi Felister amekua akiishi na maumivu makali ya tumbo kwa miaka 11...
Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito.
Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila.
Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo
"Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.
Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri.
Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi...
Wasalam JF,
Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri.
Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri.
Leo hii nimemchunguza...
Wahenga walisema hujafa hujaumbika. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Supa Ngussi aliyepata changamoto katika sehemu ya kutolea haja kubwa na ndogo, baada ya kupata ajali ambayo ilikwenda kubadili kabisa mwelekeo wa maisha yake.
Ngussi (21) ni baba wa mtoto mmoja, alipata changamoto hiyo katika...
Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.
Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni.
Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika.
Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume...
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mgeni humu nimekuja kwenu kuomba ushauri na mawazo yenu maana humu kuna wataalamu mbalimbali.
Mama watoto wangu ni mjamzito wa takribani miezi 8 na point na amekuwa akihudhuria kilinic vizuri kabisa.
Alitakiwa kujifungua 09.02.2019 kwa mujibu wa maelezo ya kliniki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.