Acid reflux (GERD)/Kuzidi kwa acid tumboni

Rucho Herbal

New Member
Sep 27, 2023
1
24
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.?
Gastroesophageal reflux disease (GERD);

⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatizo hili.

Karibu kuuliza chochote kuhusu Tatizo hili. Pia unaweza kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi kupitia WhatsApp
0787 278 759
 
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.?
Gastroesophageal reflux disease (GERD);

Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatizo hili.

Karibu kuuliza chochote kuhusu Tatizo hili. Pia unaweza kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi kupitia WhatsApp
0787 278 759
Sio kweli , haisababishwi na wingi wa acid tumboni bali inasababishwa na kulegea kwa kiwambo(sphincter) inayotenganisha tumbo na koo la chakula hivo majimaji yale yanaporudi juu yanasababisha kuungua kwa koo la chakula kwa sababu epithelia yake haiko well adapted kuhandle acidic contents.
Nyie waganga wa kienyeji muwe mnasoma vizuri kwanza kabla ya kuja kudanganya watu mitandaoni
 
Mimi huwa wananifurahisha sana 🤣🤣
 
Nimetuma makala kuelezea Acid ni nini so em soma kwa uelewe tunaposema maana ya kitu sio sawa na sababu za kitu ndg hizo unazoelezea wewe ni sababu za kutokea kwa Acid na hicho nilicho kielezea ni maana ya Acid reflux na njinsi inayo panda kwa kule kuzidi ndg jaribu kusoma kitu kabla ya kuandika
Mkuu Ukiwa kama mtu Wa afya (kama post zinavyokunasibisha),
Mara nyingi sana Kukubali kukosea au kukubali kuteleza kufanye kama Dini yako (yaani kufanye kama maisha yako ya kila siku) cuz no body is perfect hii ni simple medical Ethics and inashow proffesionalism...
(Na wala haikushushi hadhi boss ila inaonyesha concern)

Kiukweli hapo uliteleza Hyperacidity sio Sawa na GERD...
Japo kwa dalili na kwa kimatibabu zinaweza kushabihian...

GERD, au gastroesophageal reflux disease, cha kwanza huwa ni chronic disorder sio ambayo inaweza kutokea kwa ghafla au mara moja tu na hiyo attack ya mara kwa mara ndo hupelekea ku'affects' the lower esophageal sphincter (LES), zile muscle valve zinazotenganisha kati ya tumbo la chakula na esophagus.

Hizi LES zikishakuwa weakened zinafanya acid ya tumboni kusukumwa au kurudishwa kwenye esophagus, na hiyo haionyeshi kuzidi kwa acid yoyote kwa sababu acid Tumboni huwa ipo tu.....
Ambayo ndo husababisha hizo heartburn na dalili zingine...
Ila unapozungumzia Hyperacidity...
ni ile hali ya kuwa na too much stomach acid. Ambayo na yenyewe husababisha dalili zinazoweza kufanana na GERD...

note that hyperacidity ikitokea kwa muda mrefu bila kuwa corrected inaweza kuwa sababu ya kutokea kwa GERD
 
inasababishwa na kulegea kwa kiwambo(sphincter) inayotenganisha tumbo na koo la chakula hivo majimaji yale yanaporudi juu yanasababisha kuungua kwa koo la chakula kwa sababu epithelia yake haiko well adapted kuhandle acidic contents
Upo sahihi 100%
 
Mkuu Ukiwa kama mtu Wa afya (kama post zinavyokunasibisha),
Mara nyingi sana Kukubali kukosea au kukubali kuteleza kufanye kama Dini yako (yaani kufanye kama maisha yako ya kila siku) cuz no body is perfect hii ni simple medical Ethics and inashow proffesionalism...
(Na wala haikushushi hadhi boss ila inaonyesha concern)

Kiukweli hapo uliteleza Hyperacidity sio Sawa na GERD...
Japo kwa dalili na kwa kimatibabu zinaweza kushabihian...

GERD, au gastroesophageal reflux disease, cha kwanza huwa ni chronic disorder sio ambayo inaweza kutokea kwa ghafla au mara moja tu na hiyo attack ya mara kwa mara ndo hupelekea ku'affects' the lower esophageal sphincter (LES), zile muscle valve zinazotenganisha kati ya tumbo la chakula na esophagus.

Hizi LES zikishakuwa weakened zinafanya acid ya tumboni kusukumwa au kurudishwa kwenye esophagus, na hiyo haionyeshi kuzidi kwa acid yoyote kwa sababu acid Tumboni huwa ipo tu.....
Ambayo ndo husababisha hizo heartburn na dalili zingine...
Ila unapozungumzia Hyperacidity...
ni ile hali ya kuwa na too much stomach acid. Ambayo na yenyewe husababisha dalili zinazoweza kufanana na GERD...

note that hyperacidity ikitokea kwa muda mrefu bila kuwa corrected inaweza kuwa sababu ya kutokea kwa GERD
Safi tunakula darasa hapa shusha Nondo mkuu, mtaji bando tu
 
Sio kweli , haisababishwi na wingi wa acid tumboni bali inasababishwa na kulegea kwa kiwambo(sphincter) inayotenganisha tumbo na koo la chakula hivo majimaji yale yanaporudi juu yanasababisha kuungua kwa koo la chakula kwa sababu epithelia yake haiko well adapted kuhandle acidic contents.
Nyie waganga wa kienyeji muwe mnasoma vizuri kwanza kabla ya kuja kudanganya watu mitandaoni
Kabisa hawa ni mitapeli tu ukinunua dawa kwake kumbe mbegu za parachichi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom