Mandonga anaongelea kumpiga mpinzani wake ngumi za tumboni?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,136
7,903
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.

Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi yake ya tumbo asipokuwa na Pampers, basi atachafua hali ya hewa. Nikajiuliza huyu jamaa hata sheria za ngumi anazijua kweli?

Mandonga amesaidia kwa kiasi chake kuchangamsha game na sipo hapa kumzibia rizki yake, ila si mbaya kama tukianzisha sub-category ya mchezo wa ngumi inayoendana na style yake inayofanana kwa kiasi kikubwa na mieleka. Ngumi za kweli watu wanaenda kuona mtu anatwangwa siyo kumcheka bondia.

Tuwatendee haki mabondia wa kweli.
 
Mandonga ni muhamasishaji na anataka watu waupende na kuufuatilia mchezo kwa furaha.Weye ndiye mwenye changamoto ya kutomuelewa.Kwa hiyo akisema kwenye hilo pambano ataua mtu,utaanza kulia?
Sawa umeshinda 🤣😂🤣 ila ngumi ninazozijua mimi siyo hizi za Mandonga, pambano linaendelea watu wanacheka na kutabasamu. Wamuanzishie game lake inaonyesha linamzuka zaidi.

Tukijua ni aina tofauti ya mchezo, tutakuwa na ubunifu zaidi wa vitu vya kuongeza. Kama ataamua kuimba singeli katikati ya pambano freshi tu.
 
Sawa umeshinda 🤣😂🤣 ila ngumi ninazozijua mimi siyo hizi za Mandonga, pambano linaendelea watu wanacheka na kutabasamu. Wamuanzishie game lake inaonyesha linamzuka zaidi. Tukijua ni aina tofauti ya mchezo, tutakuwa na ubunifu zaidi wa vitu vya kuongeza. Kama ataamua kuimba singeli katikati ya pambano freshi tu.
Humuwezi Mandonga mtu kazi weye!Mandonga anachoniangusha ni kimoja tu.Shabiki wa utopolo!
 
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.

Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi yake ya tumbo asipokuwa na Pampers, basi atachafua hali ya hewa. Nikajiuliza huyu jamaa hata sheria za ngumi anazijua kweli?

Mandonga amesaidia kwa kiasi chake kuchangamsha game na sipo hapa kumzibia rizki yake, ila si mbaya kama tukianzisha sub-category ya mchezo wa ngumi inayoendana na style yake inayofanana kwa kiasi kikubwa na mieleka. Ngumi za kweli watu wanaenda kuona mtu anatwangwa siyo kumcheka bondia.

Tuwatendee haki mabondia wa kweli.

Complaining a cheap that’s why everyone can afford it

Huna unalolijua kuhusu ngumi
 
Complaining a cheap that’s why everyone can afford it

Huna unalolijua kuhusu ngumi
Wakati watu tunaamka saa 9 usiku kumuangalia Tyson anamcharaza mtu round ya kwanza, wewe ulikuwa bado kwenye kende za babako
 
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.

Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi yake ya tumbo asipokuwa na Pampers, basi atachafua hali ya hewa. Nikajiuliza huyu jamaa hata sheria za ngumi anazijua kweli?

Mandonga amesaidia kwa kiasi chake kuchangamsha game na sipo hapa kumzibia rizki yake, ila si mbaya kama tukianzisha sub-category ya mchezo wa ngumi inayoendana na style yake inayofanana kwa kiasi kikubwa na mieleka. Ngumi za kweli watu wanaenda kuona mtu anatwangwa siyo kumcheka bondia.

Tuwatendee haki mabondia wa kweli.
Mandonga katrend Kenya kuliko mpinzani wake ambae ni mzawa. Homa ya Nairobi sasa hivi ni ngumi kutoka Ukraine ngumu sogoyo. Ukisoma comments za wakenya wanasema hamjui huyo mpinzani wa Mandonga, wengine wanasema mpinzani wake amshukuru Mtu kazi kwa kumfanya afahamike.
Chakifurahisha pambano la Mtu kazi ni moja kati ya mapambano ya awali, media zote za kenya zinaongelea pambano la Mandonga badala ya pambano kuu.

Kuna wachambuzi wameonyesha wasisi wao baada ya pambano la Mandonga kusepa na kijiji chake kama litakuwa la mwanzoni kabsa
Screenshot_20230114_105632.jpg
Screenshot_20230114_105905.jpg

Sijakataa kutrend anatrend maana hadi wadada nao sasa wanafuatilia ngumi. Kama ulivyosema yeye anakuwa maarufu kuliko watu wanaompiga au wale wa pambano kuu hilo ni tatizo ukiangalia kwa jicho la kiprofessional. Tena anavyopigana kila siku hauwezi kusema inaongeza thamani ya mchezo.

Kuna bondia nakumbuka alilalamika inakuwaje media inamuita Mandonga kwenye interviews na kuwaacha mabondia wanaoshinda. Tuliangalie hili kwa muktadha wa mchezo. Hata Mohamed Ali alivyokuwa anaongea sana kuna wenzake hawakumpenda ila yeye aliuheshimu mchezo na uwezo ulionekana ulingoni.

Sina tatizo na hustle zake ila wamtafutie mchezo wake. Nitamsupport huko.
 
Wakati watu tunaamka saa 9 usiku kumuangalia Tyson anamcharaza mtu round ya kwanza, wewe ulikuwa bado kwenye kende za babako

Mkuu matusi ya nini tena?

Very sorry if by any means my reply offended you
 
Ameongea au ametenda?Focus kwenye mambo ya maana.Kwa nini usisubiri amkandike mtu migumi ndoige au peresopereso!
Nadhani "peleso peleso" ni staili nzuri ya ngumi za Mtu kazi Mandonga maana yake anakufuata na ngumi jiwe za mfululizo hadi unakata moto!hata ukimkandika makonde mazito haumii ye anakuja tu kama kichaa aliechokozwa na kurusha masumbwi non stop mpaka unakaa chini na kusalimu amri basi mtu kazi anaanza kucheza kwa kunema kama drunken master na kuruka ruka ulingoni kama Mohamed Ali inapendeza sana.

Hizi ngumi zake mpya za "Sugunyoo" toka Ukraine sijaziona ubora wake japo naamini zitakuwa vitasa vya maana! Mtu kazi si mchezo! Hizi Ngumi nzito sana za tumbo Toka Ukraine ni balaa jipya la Mandonga Mtu kazi na lengo La Sugunyoo ni kuua mpinzani ulingoni au kumstaafisha mpinzani kupigana ngumi!

Ile Ngumi nzito ya Ndoige ilikuwa moto wa kuotea mbali, ukienda kushoto unakutana nayo kulia pia imo!

Nimeona Mtu kazi Mandonga amei prove sana siku hizi anaanza kuwa bondia kamili taratibu ana ngumi nzito na anaficha uso si kama mwanzo ilikuwa Sanaa tupu!

Wadhamini na mapromota hawatoshi Mandonga Mtu kazi ameiva kwasasa anapiga TKO tu anahitaji mapambano makubwa na mabondia wa Marekani!

Kwasasa hata Mayweather anakaa kwa Mandonga mtu kazi!
 
Nadhani "peleso peleso" ni staili nzuri ya ngumi za Mtu kazi Mandonga maana yake anakufuata na ngumi jiwe za mfululizo hadi unakata moto!hata ukimkandika makonde mazito ye anakuja tu na kurusha masumbwi non stop mpaka unakaa chini na kusalimu amri basi mtu kazi anaanza kucheza kwa kunema kama drunken master na kuruka ruka ulingoni kama Mohamed Ali inapendeza sana.

Hizi ngumi zake mpya za "Sugunyoo" toka Ukraine sijaziona ubora wake japo naamini zitakuwa vitasa vya maana! Mtu kazi si mchezo!

Ile Ndoige ilikuwa moto wa kuotea mbali, ukienda kushoto unakutana nayo kulia pia imo!

Nimeona Mtu kazi Mandonga amei prove sana siku hizi anaanza kuwa bondia kamili taratibu ana ngumi nzito na anaficha uso si kama mwanzo ilikuwa Sanaa tupu!

Wadhamini hawatoshi Mandonga ameiva kwasasa anahitaji mapambano makubwa na mabondia wa Marekani!

Kwasasa hata Mayweather anakaa kwa Mandonga mtu kazi!
Kutoka kuwa na kina Matumla na Rogers Mtagwa hadi Mandonga. Kweli tumeendelea
 
Back
Top Bottom