tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  2. Teslarati

    MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  3. G

    Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  4. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  5. M

    Friends of Mamelodi Sundowns tukutane hapa

    Nikiwa kama mdau wa soka safi hapa duniani huwa napenda sana kuona jinsi timu ya mamelodi sundowns kutoka nchini Afrika ya kusini jinsi inavyosakata kabumbu . Karibuni marafiki na wadau wote wanaoitakia mema timu ya mamelodi sundowns.
  6. GENTAMYCINE

    Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno. Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
  7. Mganguzi

    Ndugu Harrison Mwakyembe tafadhali tukutane Monduli kwenye mazishi ya shujaa Edward Lowassa!

    Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi...
  8. MubengaJr

    Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  9. Intelligent businessman

    Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  10. G

    Tulioomba ajira uhamiaji tukutane hapa tuna kikao

    Inasemekana watu wanapigiwa simu awatoi majina, je kuna yeyote aliyepigiwa simu?
  11. peno hasegawa

    Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  12. Melki Wamatukio

    Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

    Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa... Karibuni kwa shuhuda
  13. The dumb Professor

    Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

    Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon, Boomerang na Disney. Tukumbushiane baadhi ya cartoons tulizowahi kuzicheki Kwangu Mimi hii hapa top 15...
  14. Jumlisha

    Vegetarian tukutane hapa

    Habarin wana JF. Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa...
  15. Yofav

    Tunaoishi single (Ghetto Geez) Tukutane hapa

    Habarini wakuu, Nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kujua wastani wa hali za wenzangu wanaoishi katika status ya u-single hasa katika gharama zetu za kujimudu kimaisha zipo vipi? Kwa mfano katika siku mtu unatumia wastani wa gharama kiasi gani katika kula, Vocha na Usafiri? Kwa mfano mimi...
  16. K

    Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  17. Leejay49

    Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

    Habari ya asubuhi, Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓 Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu...
  18. BARDIZBAH

    Wapenzi wa picha za sunset tukutane hapa

    Kama title ya uzi inavyojieleza. Wacha nianze mimi kwa baadhi nilizozipiga. 1. Pemba chakechake sunset view
  19. Faana

    Wale wa hizi enzi tukutane hapa

    Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani? Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea...
Back
Top Bottom