Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,932
- 4,086
Nikiwa kama mdau wa soka safi hapa duniani huwa napenda sana kuona jinsi timu ya mamelodi sundowns kutoka nchini Afrika ya kusini jinsi inavyosakata kabumbu .
Karibuni marafiki na wadau wote wanaoitakia mema timu ya mamelodi sundowns.
Karibuni marafiki na wadau wote wanaoitakia mema timu ya mamelodi sundowns.