tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tupeleke watoto shule za kiingereza, Tuache kupotoshana kwa kauli za kimasikini kusifia kayumba na kusingizia shule za kiingereza zinaharibu watoto.

    Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
  4. Kijana LOGICS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Watanzania na serikali tuache unafiki

    Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana. Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote. Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je, mimi kama mlipa Kodi naweza kumuagiza kiongozi kufanya jambo lenye manufaa kwa wananchi?

    Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine. Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
  9. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuoe au tuache?

    Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo anakubali. Nampa moyo dogo kuwa atabadilika nakataa nisijeonekana mnafiki kwenye penzi la watu mana...
  10. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Tuache ubaguzi wa kidini, kikabila na hata Rangi

    Je wapalestina hawana mtetezi mbona Marekani anashabikia watu kupigwa mabomu kwa kupeleka manowari za kijeshi huko Mashariti ya Kati! This is a UN weakness it's a biased Body controlled by super power countries. The same bloodline that killed jesus is the same who's killings palestinians . I'm...
  11. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani ..tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  12. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni giant how? Ethiopia wanaikimbia nchi yao. Tuache utani tafiti za kibeberu

    Yaan hii imenishangaza sana. Angalia hapa
  13. Captain Eno

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, kuwa na mtoto mwenye ulemavu au magonjwa haya ni baraka?

    Na wengi wao huishia kufungiwa ndani, Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui, Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama. Bubu - Hawezi...
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache malalamiko, tuwe watu wa vitendo na maamuzi

    Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe. Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunawaita wanasiasa waroho na wasaliti waheshimiwa/Honorable/Excellence tunajidharirisha tuache.

    Hellow, Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani. watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  17. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

    Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu yao huwatumia Waislamu kutaka kujitakatisha kwa uchafu wao. Ajabu zaidi Waislamu bado hawajakitegua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

    Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli . Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa? Na tulitegemea afanyaje...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu. Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu...
  20. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kujidharau!

    Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:- 1...
Back
Top Bottom