Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi.

Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani

Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza wanasema Kituo Kikuu cha mabasi ya Mikoani kilichopo Mezi cha Magufuli Bus Terminal kimeondolewa jina lake. Taharuki hii imeanza kuibua hisia kali na mitazamo tofauti luhusu jambo hilo. Siyo siri, hata sisi tunaomkosoa Magufuli kuna maeneo tunakubaliana naye hususan kwenye usimamizi wenye tija na utatuaji wa kero za wananchi. Hivyo pamoja na rekodi yake mbovu ya Haki za Binadamu lakini alisimama kama Rais na kutekeleza majukumu yake mengi kwa kasi na umakini mkubwa.

Ninawaomba na kuwaasa Watanzania wenzangu tusikurupuke kuingia mitego ya taharuki zinazoenezwa na watu wa MIPANGO kwani inawezekana kuna jambo tunafichwa ndani ya taharuki hizo.

Nimepiga simu kwa jamaa yangu anayefanya biashara kwenye stand ya Magufuli leo ahsubuhi ya tarehe 19 Desemba 2023 amenithibitishia kuwa hakuna kilichobadilika kwenye jina la kituo. Ni vile hakuwa na bando angetuma picha niiweke lakini nitaipata baadaye.

Mimi naikosoa vikali serikali ya jinamizi CCM lakini katu sitoingia mtego wa kuishuhudia uongo.

Jumanne njema

Lucas mwashambwa Pascal Mayalla Erythrocyte Maxence Melo Paw figganigga Mshana Jr Retired Ritz NALIA NGWENA raraa reree Demi Kiwele Iwvata Ambiele Kiviele mjinga mwerevu mimiamadiwenani
 
KWANZA HATA KAMA WANATAKA KUBADILISHA JINA,HAKUNA SABABU YA KUFANYA HIVYO

ova
 
Siyo kazi ya serikali kujibu kila uzushi.

Ibadilishwe tu jina kama bado.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom