Wanaume tuache malalamiko, tuwe watu wa vitendo na maamuzi

The Best Of All Time

JF-Expert Member
Aug 30, 2022
2,968
6,839
Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe.

Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke, hata kama ikitokea mwanamke wako amekusaliti hii inaonyesha ulifanya wrong vetting na ukaignore red flags/ ishara nyekundu alizokuwa anakuonyesha. Wanatoaga signals hawa viumbe sema wengi wanaignore alafu wanapigwa tukio.

Mwanamke akikupenda, hawezi vua uchi wake kwa mwanaume mwingine zaidi yako. Ukiona mpenzi wako kavua chupi kwa ajili ya mwanaume mwingine, hakukupenda, sema alitaka kukutumia ili eidha apate attention yako au financial security kutoka kwako.

Hawezi kuwa financial vampire kwako, hata kama ukisema kuwa biashara zako hazijakaa sawa anakuelewa kwasababu anakupenda na anajua unapambana kwa ajili yake na yako.

Ili mahusiano yawe na nguvu lazima mwanamke akupende sana alafu wewe unaishi zaidi Kwa akili kuliko hisia.

Hakikisha unapenda mafanikio kuliko mwanamke uliyekuwa naye, hakikisha unamjali na kumuonyesha upendo ila ukijijenga kuwa bora zaidi, mwanamke anapenda mwanaume bora na si bora mwanaume. Wanaosalitiwa wengi ni bora mwanaume, ila hapush the limits kuwa bora.

Mwanaume ni lazima umwambie mwanamke wako kitu unachotaka kutoka kwake mwanzoni wa mahusiano, unaweka sheria na limits ambazo akizivuka unampiga chini.

Inabidi uwe mtu wa maamuzi, na ukisalitiwa, uwe na nguvu ya kumove-on na sio kulalamikq, shukuru tu kwa yote yaliyotokea na usonge mbele kuwa bora zaidi na kumchagua mwanamke bora kuliko aliyepita. Lazima uwe mtu wa kauli.

Mwanaume katika mahusiano unabidi uishi kama jasusi, usiingie 100% miguu yote ndani, umchunguze huyo mwanamke wako mpaka mwisho, chunguza mahusiano yake na mzazi wake wa kiume, chunguza interaction zake na marafiki zake, chunguza tabia za kabila lake na angalia kama unaweza kumudu, angalia na kazi anayofanya, wengine wana tamaduni ya kugawa papuchi kwa kila mwanaume, chunguza pia anavofanya kwenye mitandao ya kijamii, je anatafuta attention? Kwa audience ipi?

Fanya vetting vya kutosha alafu fanya maamuzi. Kumbuka huyo ndo atakuwa mama watoto wako, usikubali mtoto wako alelewe na kichaa au asiyejitambua.

Alafu wanaume heshimuni mwanamke anayekupenda sana, na Moja ya kitunkinachothibitisha hilo ni kukubali kubeba mimba yako, hakuna mwanamke anaweza beba mbegu ya asiyempenda, hayupo. Atafanya jambo lolote asibebe.

Sio mtu kabeba mimba , anazaa alafu unamuacha kama single mom, hujali watoto, alafu unategemea watapata malezi mazuri? Hawa wanawake unaowaona , baadhi yao wana chuki na wanaume kutokana na baba zao kutosimama kama wanaume na kukimbia majukumu.

Mwisho tujijenge kuwa bora zaidi, usifatilie sijui female psychology, fatilia vitu vitakavyokufanya kuwa bora kiuchumi, kiafya na pia kama kiongozi wa mahusiano. Tuache kulalamika, tuwe watu wa action, maneno machache, Matendo ya kutosha.

Mwanamke akionyesha red flags kama ukimtumia text, anakujibu lisaa moja anasema shughuli nyingi, usiogope kuachana naye, tafuta mwingine atakayevalue attention yako.

I rest my case.
 
Mkuu,

Mm nmeondoka na KUJIJENGA KUWA BORA ZAIDI

ubora unavuta watu,ubora unaonekana hata gizani,

Dunia haiwanotice watu wakawaida
Kweli kabisa. Hata wanawake hawataki watu wa kawaida, inabidi wanaume tuambizane ukweli. Tuwe bora kwenye Kila nyanja, kiuchumi, kiakili, kimahusiano na sehemu zingine.

Ukiwa bora una options nyingi sana, wanawake hawatakusumbua na pili itakufanya uwe selective, uchague anayekufaa tu ama uamue tu uwale hit and run licha ya kwamba Mimi binafsi sipendi hit and run, napenda sana commitment.
 
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Napigilia nyundo. Well said
 
Ukiwa bora una options nyingi sana, wanawake hawatakusumbua na pili itakufanya uwe selective, uchague anayekufaa tu ama uamue tu uwale hit and run licha ya kwamba Mimi binafsi sipendi hit and run, napenda sana commitment.
Aisee Hapo kwenye commitiment ndio mimi kabisa na ni raha sana ukikutana na binti mwelewa na walau mwenye akili.

ninakubaliana na wewe kwa asilimia zote, tangu nimeanza kuwekeza nguvu kwenye kujiboresha mwenyewe ndio jinsi navokuwa selective kwa hawa viumbe sijui inasababishwa na hii hali ?, yaani inafikia hatua wewe mwenyewe unakuwa na uwezo wa kuwakataa, kuchagua nk, na kubakia kukomaa na unae-mtaka.
 
Back
Top Bottom