tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona. Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
  3. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wazazi tuache kuharibu ndoa za wenetu

    Habari za wakati huu wan JF. Nimekuja na kitu kingine, sio kipya ila nilikiandika kwa sehemu tu na nikaona imepata mwitikio mkubwa sana, hivyo nikaona kuwa nina wajibu wa kuandika zaidi ili kudadavua uzi wangu. Imekuwa ni kawaida kwa watu wanapooana kwa ndugu kuja kukaa na Wana ndoa hao hasa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe kuwa na tuhuma za ugaidi isiwe sababu ya kutaka Watanzania tuamini anaonewa. Tuache mahakama iamue.

    Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani. Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

    Nashindwa hata kuelewa kama ni kudeka au ni kutaka kudeka... kabla ya Rais Magufuli watu walilalamika sana na kutaka Rais mkali asiyecheka cheka, na mtu ambaye aliwaambia mapema kabisa kuwa yeye akiwa Rais watu "watalimia meno". Watu walishangalia na kutabasamu wakidhani aliwatania wakati...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  7. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kuangalia movies za mapigano sana na hizi videos games

    Wanajamvi, Nimeamua kuwaza tu nmje ya box kuhusu hili tukio la leo pale daraja la Salender. Nimeleta huku kwenye uzi wa entertainment maana huku wengi watakua na ufahamu mkubwa wa hii game iitwayo GTA Vice City. Kwa jinsi nilivyoona namna yule mwamba amefyatua risasi pale mbele ya ubalozi wa...
Back
Top Bottom