tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tanzania tupunguzeni au ikiwezekana kabisa tuache upesi huu Ushamba ambao Unaboa

    Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu? Na haya ndiyo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kushabikia uvunjifu wa demokrasia, tutakuja kujuta baadaye.

    Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tuache kuaminishana ujinga. Tanzania haiwezi kuendelea kamwe

    Tuache kuamishana ujinga ukweli ni kwamba Tanzania haiwezi kuendelea kamwe. Watu wajinga wajinga wenye tuakilli tudogo wanatwaa madaraka akishaanza kulindwa siku mbili tatu na polisi na wanajeshi anaona kamaliza kila kitu. Hawa watu wenye tuakili tudogo ambao hata elimu zao tu hazieleweki eti...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Tuache kushutumu, mwenye kielelezo kuhusu mauaji ya Ali Kibao awasilishe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wasanii jitahidini sana muwe na Mionekano ya Kuheshimika msionekane Vibaka, halafu tupunguze pia kuwa Watu wa Madili na tuache sasa kuvuta Bange sawa?

    Leo Roho Mtakatifu kanitembelea na kuniagiza GENTAMYCINE nije kuwapeni huu Ushauri mzuri nikiamini utawafaa Ok?
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

    Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwenye SGR Tushike lipi tuache lipi?

    Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini? Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Fixed matches zipo ila huwa ni siri ya circle ya watu wachche huzikuti kiholela, tuache kudanganyana kuna fixed matches za elfu na laki, ni utapeli,

    kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
  13. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tuache kelele, Serikali inatupenda sana

    Morning! Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
  15. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze Kiswahili tuache ujanja ujanja!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
  16. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

    Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiongozi anayekufa anakuwa ameuawa, tuache mazoea

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi ya viongozi katika chama, jeshi au serikali. Zamani nilikuwa najua kwamba haya mambo yalikuwa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  19. bahati93

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache kujibeza kwamba sisi si kitu

    Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na...
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
Back
Top Bottom