tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  2. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Tuache kuiga vya watu ,tutengeneze mifumo yetu kwa kanuni zetu

    Afrika mambo mengi tunapenda kuiga,tufanya mambo mengi kwa sababu nchi fulani iliyofanikiwa inafanya. Akitokea mtu akapinga,wengine watakuja na hoja mbona nchi flani inafanya hivi ama ipo hivi,yaani uhuru wetu wa kufanya mambo yetu kivyetu vyetu haupo mpaka tuchungulie Canada,UK nk...
  3. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache visingizio hoja zetu hazina mantiki , hao influencers wengi ni wapiga domo na hawana hata akili ya kuvukia barabara

    Habari wajameni Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi haswa hawa pan Africans , kiukweli hakuna mwenye akili hata moja angalau Mwalimu nyerere alikuwa anaweza kujenga hoja na ikaeleweka .. Tuje sasa kuna kundi limeibuka huko ,wanapinga dini . Bila shaka sio kosa maana wako huru ila ukija kwenye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tuache unafki, Kuna wanawake ambao beki zinakaba ukiwakazia ?

    Nimekuwa nikipinga kuna dhana ya kwamba kuna wanawake ni wagumu a.k.a beki zinakaba Naamini shida huwa ipo kwa mwanaume mfano hana pesa, anawahi kukata tamaa, sio mcheshi, n.k.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

    Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  7. immortanity

    JamiiForums Tanzania Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    Tupia nawewe yako ngoma kali unayoikubali ya mmakonde
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wana simba tuache lawama...

    Tuache lawama wana lunyasi... Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani... Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha Simba... Binafsi najua hata Uto anaenda kukutana na moto wa Azam na ataangusha alama.
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanasimba Tuache kuwakatisha tamaa wachezaji wetu,tuwe na subira,mmemuona Kibu?

    Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa. Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

    Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

    Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa. Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile. Waliomkamata...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna tabia ya kujichukia, tuache upotoshaji, bado tuko nyuma sana ukilinganisha na uwezo wetu(potential)

    Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  18. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la nishati safi ya kupikia hebu tuache blah blah

    Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa. Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na kuni au mkaa kama gesi itapatikana kwa urahisi. Muda na nguvu inayotumika kuhubiri nishati safi iende...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kuhani astahili pewa mkono, mashavu mawili na utumbo kwa kila sadaka ya ng' ombe inayoletwa madhabahu ya Bwana , tusiwaseme vibaya watumishi wa Bwana

    Wadau hamjamboni nyote? Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka Niwatakie sabato njema 1 Makuhani...
Back
Top Bottom