Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za kifedha yaliyoanza wakiwa na mbia wao kabla Serikali haijarudishiwa umiliki wa shirika hilo.
Nape...
Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi.
Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu wakati ule kwa sababu report ya CAG ina utaratibu wake kwa serikali kuifanyia kazi.
Ndio maana...
Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa.
2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu!
TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda...
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo.
Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani?
Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui saba hata Dar hawajamaliza?
Nawashauri tena; kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya) au niseme...
TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi.
Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge.
Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye...
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/-
Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?
Sababu ni hizi hapa
1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.