ttcl

  1. Muokota Makopo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  2. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

    Amani iwe Kwenu Baada ya Usajili wa Line za Simu Kwa Alama za Vidole na Kitambulisho Cha Taifa,Nipende kushauri Mitandao Ya Simu, hasa Airtel ambayo Naitumia Sana, iweke namna ya Mtumiaji kujua namba ya Rafiki yake au Mtumiaji mwingine anayetaka kuwasiliana naye. Zamani TTCL walikuwa na...
  3. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Sio siri ngoja niende kwenya mada moja kwa moja. Huu mtandao una matatizo mengi sana kama yafuatayo: 1. Huduma ya T PESA Aisee huu mtandao kama utatuma hela siku ya Ijumaa usiku ghafla litokee tatizo wallah utakuja kuhudumiwa siku ya Jumatatu. Hili tatuzo limenipata juzi hapa Ijumaa tarehe 7...
  4. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania TTCL hoi kwenye soko la mawasiliano nchini

    Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini. Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL...
  5. Slowly

    JamiiForums Tanzania Sim card ya TTCL kutounganishwa na internet

    Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe online Application haina sehemu ya huduma Kwa wateja , ina mana kama huna kifurush cha data applctn...
  6. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia shirika la TTCL yaingia mkataba wa kupeleka intaneti Burundi

    Dar es Salaam. Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba na kampuni ya mawasiliano ya mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya intaneti nchini humo. Mkataba huo wa Sh13.8 bilioni utatekelezwa katika nchi ya Burundi kwa kipindi cha miaka 10. Makubaliano...
  7. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  8. Sychbh

    JamiiForums Tanzania Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Back
Top Bottom