ttcl

  1. Jacobus

    JamiiForums Tanzania TTCL kero hii itaisha lini?

    TTCL (Shiriki la mawasiliano la Tanzania) leo ni mara ya nne nakatwa pesa kila niingizapo vocha kwenye simu. Mie huweka vocha tatu za shs 1,000/= ili nijiunge na kifurushi, cha ajabu naweka vocha ya kwanza haikatwi ya pili inakatwa ya tatu haikatwi. Mara ya tatu usiku nilijaribu kununua bando...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6) Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo...
  4. Anonymous

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotumia TTCL fiber mlifanyaje kuunganishiwa?

    Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni. Nilijibu kuwa tayari nina maombi 17 yangu mwenyewe, na hizi ni order numbers. Waliniambia andika jina...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari na Mawasiliano Jerry Slaa ateua wajumbe 6 wa Bodi ya TTCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb), ameteua Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mujibu wa Sheria ya TTCL ya mwaka 2017, Kifungu cha 7(2)(3) kikisomwa pamoja na Kipengele cha 1(1) cha Jedwali la Sheria hiyo...
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Nyaya za TTCL Dar es Salaam ni uchafuzi wa mazingira. Mamlaka zifanye jambo

    Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku nguzo zimepinda ovyo bila anayejali. NEMC wanapaswa kuwadhibiti hawa jamaa, maana inaonekana...
  7. Snrmoudy

    JamiiForums Tanzania TTCL bando nafuu

    H
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Laini za Simu zilizosajiliwa nchini zafikia Milioni 80.7, Vodacom yaongoza kwa Wateja, TTCL na Airtel zashuka

    MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7. Kwa mujibu wa...
  10. Kangosha

    JamiiForums Tanzania Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

    Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
  11. Mtanzania Tajiri

    JamiiForums Tanzania PPP ni lini mtaziendesha kwa Ubia hizi ATCL na TTCL?

    Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa. Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia? Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6
  12. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini TTCL Haitoi Hatua Dhidi ya Namba za Simu Zinazoripotiwa kwa Utapeli?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
  13. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TTCL mbioni kushusha bei ya vifurushi

    Taarifa nyeti za ndanindani ni,izopewa mchana wa leondio kama hivyo navyowaambia TTCL wapo mbioni kushusha bei za vifurushi sababu za uwepo wa waziri mpya bwana Jerry Silaa pamoja na uwepo wa mkurugenzi mpya wa TTCL bwana Marwa wamedokeza kufanya kushusha bei ya vifurushi amabavyo mwanzoni...
  14. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini kipya kutoka kwa bosi mpya wa TTCL?

    Juzi usiku ulifanyika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na tawala zingine. Upande wa shirika la mawasiliano TTCL ameteuliwa bwana MOREMO CHACHA kutoka shirika la uzalishaji mali. Je, huyu bwana ni nani anaijua historia yake? Je, atayaweza majukumu ya kuongoza hili shirika mbalo...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

    TAARIFA KWA UMMA Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23 Julai, 2024, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

    Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo. Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania "Tutatumia maonesho ya 48 ya sabasaba kuvutia wawekezaji kidijitali" - TTCL

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema limejipanga kuendana na kauli mbiu ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya "Tanzania ni mahali sahihi pa Biashara na Uwekezaji kwa kufungua milango ya kidigitali kwa wawekezaji na Wafanyabiashara ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi Zaidi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL ni sikio la kufa! Haiwezekani kwa zaidi ya miezi sita nimeomba huduma ya fiber nyumbani wananizungusha tu

    Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na nimeomba huduma ya kufungiwa internet nyumbani (fiber) na sasa yapata miezi sita ila sijafungiwa...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Router za TTCL

    Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili...
Back
Top Bottom