ttcl

  1. Tunzo

    JamiiForums Tanzania TTCL mnachofanya ni uhuni, GB 1 kwa 2500

    Kila siku naona mnabadilisha vifurushi, Eti kifurushi kinaitwa bure, jana kilikua 1500 leo 2500, hopeless kabisa.
  2. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi: TTCL MB 1 kuuzwa kwa Tsh 2.50

    Mambo ni byuti byuti huko kwenye maasiliano. Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
  3. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TTCL mbioni kupandisha gharama ya vifurushi

    lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao. Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅 NB; Ukipita...
  4. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Leo nimeiweka line ya TTCL pembeni, Nyumbani kuchungu

    Kweli nyumbani kulianza kunoga, basi kadhaa tukarudi kwa machale, kukawa na ile huduma ua BUFEE (MPYA) ya kujipangie, yani kama nataka MB tu najichagulia na kama ni dakika tu, nachagua, na kama ni vyote najipangia kua MB ngapi, Dakika ngapi na sms ngapi, najiunga ninavyotaka. Ila naona siku...
  5. idoyo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    .
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada TTCL Copper Internet

    Habari za wakati wadau; Kwa ambao wamewahi kutumia huduma za TTC internet kwa upande wa Copper Cable connection naomba mnipe mrejesho juu ya utendaji wake ukoje katika speed na kadhalika installation cost ni sh ngapi means vifaa na ufundi total ni sh ngap nimeenda TTCL wameniambia vifaa...
  7. C.T.U

    JamiiForums Tanzania TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Wasalaam Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL inatakiwa kutengeneza mabilioni ya fedha kutoka kwa watanzania na nafikiri ndio dhima kubwa ya Rais ...
  8. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa ky unlock modem hii e3372h-607 ya ttcl

    Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port COM7 Found modem : E3372 Model : Huawei AuthVer 4 modem (New) IMEI...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Tarehe 31 Machi, 2022 TTCL wanapandisha bei ya vifurushi

    Noma sana wakuu, tarehe tajwa hapo juu 31.03.2022, shirika la serikali la mawasiliano litatupiga na kitu kizito sana kichwani, wanapandisha vifurushi. Bufee inaweza kuondolewa maana inawatia hasara tu. Toboa night HAIRUDISHWI ng'o Si mnakumbuka tuliambiwa tuhamie Burundi tukaanza kuleta...
  10. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Kulikoni vifurushi vya TTCL kumalizika kabla ya muda?

    Wakuu tarehe 12/03 nilijiunga na kifurushi cha sh 5,000/= kama kawaida yangu takriban miaka mitatu au minne hivi. Na kila nikijiunga hupata ujumbe huu "Ndugu mteja, Umefanikiwa kuunganisha huduma yako ya Watumishi Pack Plus 2GB-100min-AllNetworks-100sms Monthly. Piga *148*30# kwa huduma zaidi"...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania haina sura mpya za kuliongoza Taifa?

    Najaribu kufuatilia hizi teuzi za viongozi naona watu wanatolewa na kurudishwa hadi najiuliza kwani nchi yetu haina kabisa sura mpya? Yani inteligensia ya taifa imezunguka nchi nzima kutafuta vijana hata wasiokuwa serikalini ikakosa kabisa watu wa kuongoza hizo NHC au TTCL? Namaanisha vijana...
  12. libeva

    JamiiForums Tanzania Kwanini matapeli wengi wanatumia line za TTCL?

    Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii. Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza. 666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI...
  13. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  14. luangalila

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TTCL makato ya Bundle zenu ni kiboko

    Ukinunua kifurushi cha G1 hawa jamaa wana fyeka mbayaaa yaan Mbs hazidumu kabisaaa
  15. buffalo44

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Matapeli Wanatumia TTCL zaidi kwenye mawasiliano?

    Inawezekana usajili wa wateja TTCL una tatizo na imesababisha matapeli wengi kukimbilia huko. Msg za simu au upigaji simu wa kitapeli ambao ulishaachwa au umepungua sana kutumiwa kwenye mitandao mingine, kwa TTCL ndio kwanza imeshamiri. Kuna kitu hakijakaa sawa.
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania TTCL FIBER INTERNET INAPITA KWENYE NGUZO AU??

    Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
  18. zink

    JamiiForums Tanzania Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Meneja Masoko wa TTCL atimuliwe kazi, anaihujumu TTCL

    Huyu meneja wa masoko wa TTCL afukuzwe kazi Serikali popote mlipo, maboss wa TTCL, na wizara ya mawasiliano huyu afisa masoko wa TTCL ni hatari kwa usalama wa uchumi wa taifa hili Anatoa wapi ujasiri wa kutumika kuhujumu shirika namna hii? TTCL ndo kwanza wamefufuka, wanahitaji kuwafikia...
Back
Top Bottom