MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,484
- 20,436
Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.