ttcl

  1. I

    Huduma ya TTCL ya kutoa Internet nyumbani ni mbovu sana

    Ndugu zangu ninahitaji kuunganishwa na huduma ya internet ya TTCL nyumbani kwangu. Kwakweli ni aibu kusema nilikuwa natumia huduma ya Zantel ambayo ilikuwa nzuri na nilipopata changamoto au hitilafu walikuwa wanakuja haraka sana kunipa huduma sema gharama ilikuwa juu kwani nilikuwa nalipa...
  2. JITU BANDIA

    TTCL home Internet Installation Manual

    Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko kuna mnara wa TTCL na inatoa huduma. Sasa niliongea nao kuhusu kununua router na kufanyiwa...
  3. K

    Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  4. BLACK MOVEMENT

    Nitashangaa kama TTCL, ATCL, Posta, TANESCO, NIC zitaachwa

    Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi. Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
  5. benzemah

    Nape ataja sababu madeni ya TTCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za kifedha yaliyoanza wakiwa na mbia wao kabla Serikali haijarudishiwa umiliki wa shirika hilo. Nape...
  6. J

    Serikali yafanya mageuzi makubwa TTCL

    Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
  7. Tabutupu

    Hukumu ya Rais kwa TTCL haijakaa sawa kabisa

    Juzi wakati Rais anapokea Report ya CAG, alitamka mambo mengi kwa hasira na jazba sana hadi wengine wanaona hakuwa sahihi. Kwa cheo alicho nacho na maana ya report ya CAG hakutakiwa kutoa hukumu wakati ule kwa sababu report ya CAG ina utaratibu wake kwa serikali kuifanyia kazi. Ndio maana...
  8. Mpinzire

    2017-2018 CAG alibaini TTCL inaidai Wizara ya Ujenzi Bilion 20.63, Imekuwaje Ripoti ya 2021 waseme hawamjui wanaemdai?

    Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa. 2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
  9. MSAGA SUMU

    Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

    Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi. Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
  10. JackisonDubai

    TTCL ni shirika la kwanza kufia mikononi mwa Waziri Nape Nnauye

    Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu! TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda...
  11. The Boss

    Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

    Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
  12. mama D

    Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  13. Mparee2

    TTCL wamelala usingizi

    Hivi nini kinawafanya wasisambazie watu Internet majumbani? Wateja wakienda wana ambiwa Njaya hazipo; kwa miaka sijui saba hata Dar hawajamaliza? Nawashauri tena; kujumlisha gharama za kumfungia mtu akazilipia (mtu alipie kabla ya kufungiwa) na hivyo kuzikusanya na kununua Nyaya) au niseme...
  14. Binadamu Mtakatifu

    TTCL bando bure?

    Wale wa slope nasikia wenye ttcl wanaseleleka bure now, hali ikoje huko?
  15. James Hadley Chase

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  16. William Mshumbusi

    Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

    Duh.... Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu. Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini? Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani. Yeye kila siku yuko kwenye...
  18. NetMaster

    Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  19. sky soldier

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
Back
Top Bottom