ttcl

  1. zink

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ. HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
  2. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisiizidi Vodacom na Airtel au kwanini Posta lisiwe zaidi ya DHL

    Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
  3. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini. Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi. Karibu tukuhudumie
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona. Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

    Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija. Ukitaka kugeuza TANESCO liwe la kibiashara moja kwa moja kwanza utapata muwekezaji gani? Lazima awe wa...
  6. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania MABADILIKO YA VIFURUSHI: TTCL yakiondoa kifurushi chetu pendwa

    Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi. Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA. Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL? Hii kampuni inaenda shimoni wallah Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  8. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania MALALAMIKO: TTCL huu ujumbe wenu mmenitumia mara 527 ndani ya masaa 24

    Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services. Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Ukijiungana na TTCL tegemea kero hizi

    1. Customer care kuchelewa kupokea simu ya yako au kutokupokea kabisa. 2. Meseji kutofika kwa wakati au kutofika kabisa au kutoenda na hata ikifika ulipoituma usipate delivery report au meseji unaweza ukatuma muda huu ikifika baada ya masaa kadhaa au hata kesho yake. 3. Customer care kuwa...
  11. Dive

    JamiiForums Tanzania Hivi TTCL na TCRA wanashindwa kuzuia matapeli kwa njia ya simu?

    Kiukweli inasikitisha sana Kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ilielekeza lines zote za simu zisajiliwe Kwa kutumia vitambulisho vya NIDA ilu ktambua watumiaji na kuepusha uhalufu lakini leo hii lines za simu hasa hasa za TTCL zinatumika sana kutapeli watu. Kumekuwa na ongezeko la...
  12. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

    Kumekuwa na baadhi ya watu kupost picha ya Ttcl ikiwa na ujumbe unaosomeka TIA TUKUTIE.
  13. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Hatimaye TTCL wameanza kukosa ubunifu kabisaaa 👉Now wapowapo tu ubunifu ni 0.05%. Badala ya kuumiza kichwa kuboresha huduma, wameenda kumsainisha Nandy kwenye lebo yao ya Rudi Nyumbani Kumenoga ili wazurure kufanya shoo mikoani. 👉Unapiga menyu yao ya kuangalia salio. Ujumbe unakuja kuletewa...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Call For Interview UTUMISHI At MU, TCB, Tanga-UWASA, IRUWASA ,UDSM, MNH, TANESCO & TTCL On 24th May 2021

    INTERVIEW ANNOUNCEMENT Click below to download pdf file:
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TTCL msipobadilika 'nawachongea' kwa Rais Samia

    Haiwezekani nyie kila siku tu ni lazima muwe na tatizo la Kimtandao (hasa hasa) linalohusu Miamala yenu ya T-Pesa. Mbona mlikuwa hamna Upuuzi huu wakati Mwendazake Hayati Rais Dkt. Magufuli yupo Hai na Madarakani? Tuwaeleweje nyie TTCL? Na kinachonipandisha Hasira zangu ni kwamba natambua nyie...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Written Interview ya TTCL nafasi ya Afisa Mauzo

    Habari za jioni wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

    Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI Jobs At Tanzania Telecommunications Corporation Limited (TTCL), April 2021- (61 Posts)

    1. JOB TITLE: SALES OFFICER II - (10 POSTS) ● Sales/Marketing – (5 POSTS) ● Entrepreneurship – (5 POSTS) 7.2.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To ensure proper maintenance of customer documentations and records including sales data and monthly bills ii. To provide first hand support to all...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kumenoga: TTCL wamerudi kwenye mstari wao

    Siku mbili tu bila kutumia internet ni kama mwaka mzima gerezani. Ahsante sana Ttcl NB: Kama kawaida eneo ulilopo ndio litaamua speed ya mtandao
  20. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Back
Top Bottom