ttcl

  1. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Ndugulile aipongeza TTCL uboreshaji vituo vya huduma kwa wateja

    Na Mwandishi wetu - Zanzibar Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano. Amesema hayo katika hafla...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba #RudiNyumbaniKumenoga
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa: TTCL internet configuration settings

    Kama ninavyosomeka hapo juu. Watz nahitaji kufahamu configuration za internet ya ttcl
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaodaiwa na TTCL kukatiwa huduma baada ya Januari 31 endapo hawatalipa madeni

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile ameliagiza shirika la mawasiliano Tanzania TTCL kufuatilia madeni ya malimbikizo yote inayoyadai mashirika mengine ya Umma na yakishindwa kulipa hadi januari 31 yakatiwe huduma. Huduma hizo ni simu na intaneti ambapo hadi sasa...
  6. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 30 kwa Taasisi zinazodaiwa na TTCL kulipa madeni ya huduma waliyopewa

    WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi mmoja. Dk Ndugulile alitoa agizo hilo jana alipotembelea TTCL na kuzungumza na wajumbe wa Bodi...
  8. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa VODACOM, TIGO, ZANTEL, TTCL, AIRTEL pitieni hapa, huwenda kukawa kuna faida kwenu

    .
  9. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini wahitimu wa bachelor of arts with education wasiwe mawakala wa ttcl na airtel nchi nzima wakati wakingoja fursa

    Najua vijijini na kwenye kata hakuna mawakala wa ttcl na airtel, kwanini msiwaajili walimu hawa wanaojua customer service vizuri wakawa mawakala kwa kuwapa mafunzo kidogo ya kutatua matatizo ya mtandao. Mh Dr. Jakaya Kikwete aliwahi sema 'degree yeyote mtu anaajiliwa kazi yeyote kutoa sheria na...
  10. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Iweje simu za mezani Ttcl walizipatia sana na zinasikika vyema na washindwe kuboresha simu za mkononi?

    Jamani inakuwaje kuwaje ukitumia simu za mezani za ttcl mambo poa,hata kwa sie wa siku nyingi walileta mradi wa simu za box unadumkiza sarafu unapiga,nazo zikawa safi na wakaweza ila za mkononi zinasuasua,tatizo nini?bora waniajili nikaongezee nguvu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

    Husiku na kichwa cha habari hapo juu, Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja. TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma...
  12. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Mkakati ninaowapa TTCL ili iwe kampuni pendwa na inayojulikana bila matangazo mengi ni huu........

    Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za TTCL, watu hao si lazima wawe wanaoheshimika Bali maarufu,wale wenye utani na kupendwa na...
  13. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka TTCL

    Dahh eti "Tumenogesha zaidi, Mpendwa Mteja furahia maboresho ya vifurushi vyetu vya Data, sms na dakika kwa kupiga *148*30# kujiunga." BORA mninyonge tuh
  14. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  15. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania TTCL hamuendi mbinguni

    Mungu anawaona jamaa kwa matendo yenu ya kutusulubu wateja wenu watiifu. Kutumia mtandao wenu ni adhabu tosha kama ilivyo adhabu ya viboko. Hapa mpaka mkono unauma kwa ajili ya washa zima data, maana kwa kufanya hivi ndio angalau mtandao unafanya kazi kidogo. Kwa adhabu mnazotupa natamani siku...
  16. Mtini

    JamiiForums Tanzania Wangapi mlipitia huku? Tulipokuwa watoto tuliharibu sana miundo mbinu ya TTCL

    Nakumbuka wakati nakua tulikuwa tunatengeneza magari ya waya za tairi na waya zile zenye rangi rangi za TTCl. Kipindi hicho tulikuwa tunazunguka mitaa ya wazito maarufu kama uzunguni ambako ndio kulikuwa na watumiaji wengi wa simu za mezani kipindi hicho, basi tunatafuta zile njia zilizopita...
  17. Unko T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  18. Mpogoro

    JamiiForums Tanzania Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni. ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02 ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322 Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali...
  19. Muokota Makopo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  20. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

    Amani iwe Kwenu Baada ya Usajili wa Line za Simu Kwa Alama za Vidole na Kitambulisho Cha Taifa,Nipende kushauri Mitandao Ya Simu, hasa Airtel ambayo Naitumia Sana, iweke namna ya Mtumiaji kujua namba ya Rafiki yake au Mtumiaji mwingine anayetaka kuwasiliana naye. Zamani TTCL walikuwa na...
Back
Top Bottom