tra

  1. S

    TRA, je, ni kweli sasa hivi ukiingiza gari nchi kuna kodi kwa ajili ya dawa za UKIMWI(HIV)?

    Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa. Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000. Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
  2. L

    Wahi TRA Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
  3. Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  4. PostGE2025 TRA yatoa pole waliopata changamoto wakati wa uchaguzi mkuu

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na changamoto wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Akiwa ziarani katika mikoa ya Kikodi...
  5. Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  6. Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

    Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania. Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji. Kua na gari Tanzania ni anasa.
  7. M

    Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
  8. W

    Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  9. Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  10. TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

    TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
  11. M

    Je, ofisi ya fundi ushonaji kwa cherehani hukadiriwa vp kodi na TRA?

    Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa. Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.
  12. Wajuzi naomba kueleweshwa TRA Imewezaje kuwa mwekezaji wa timu ya mpira ya Tabora united ?

    Kwangu mimi nachofahamu mamlaka ya mapato tanzania (TRA) kazi yake kubwa ni ukusanyaji wa kodi ambazo kodi hizo hupelekwa kwenye miradi ya maendeleo na kulipa watumishi katika taasisi mbalimbali Fedha hizo za uwekezaji kwenye mpira zimetoka wapi siyo kwamba ni njia ya utakatishaji fedha! Au...
  13. Kulikuwa hakuna ulazima wowote wa TRA kununua Tabora United?

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeibua mjadala mkali baada ya kutangaza rasmi umiliki wa timu ya soka ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA United Sports Club. Kwa maneno yao wamedai kuwa hatua hii, inalenga kuhamasisha ulipaji wa kodi wa hiari na kuimarisha uwajibikaji wa kijamii...
  14. Mahakama yaamua Mfanyabiashara arejeshe fedha ambazo hakuziwasilisha TRA

    MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na Kifungu cha 83 cha Tax Administration Act, Kughushu kinyume na vifungu vya...
  15. Polestar 5 EV Sedan imezinduliwa: Mswiden na Mchina wanatuuzia kwa Mil 320 bila TRA!

    Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5. Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition. Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
  16. Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

    Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki...
  17. T

    TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  18. Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata. Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka...
  19. M

    Siku si nyingi, huwenda ni ndani ya utawala huu, makusanyo yote ya TRA yatakuwa yakilipa deni la taifa peke yake

    Buriani Jobu Ndugai Deni T 116..? Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu, Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila pembe ya nchi yangu, wabunge, mawaziri na wanaojitokeza kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wote...
  20. Kwa tangazo hili la TRA naanza kulipa kodi

    Ikiwa unafatilia uchambuzi hasa kutoka tbc utaona tangazo zuri sana kutoka mamlaka ya mapato likielezea faida mbali mbali zilizopatikana na zitakazopatikana kwa kulipa kodi Kwa kweli limenihamasisha kulipa kodi ili kuchangia maendeleo Oktoba tututututu(in lusekelo voice)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…