KERO TRA wameongeza kitu kwenye makato yao ya kodi ya pango?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao?

Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa.

Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa mwaka huu wanasema nilipie Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango ambayo ni 7,200 yaani nalipia 72,000 kama kodi ya pango nalipia tena 7,200 Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango.

Hiyo asilimia 10 watuambie ni ya kazi gani hii? Ni shida sana wanaamka kila siku na kuunda mambo ya kutuumiza sana Wananchi sababu wao hawalipii ila zinatuumiza sana, hapo bado nalipia kodi ya kawaida, yaani nimeenda nimeondoka na control no 3 za kulipia 🙌
 
Nauliza hivi kama Fremu ni yangu hiyo Kodi wanakataje. Kama fremu nimenunua au nimejenga fremu inakuwaje
 
Back
Top Bottom