ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,354
- 4,621
Nimefanya hivyo ila badoTRA Tanzania Kuna nini?Tovuti yenu pamoja na mfumo wa IDRSA haufikiki.Vp Shida ni nini?
Shusha WindowsNimefanya hivyo ila bado
Shusha Windows virus wanakula mafailiUwekezaji mdogo kwenye miundombinu ya network na system, waachane vendors uchwara. Nashauri system za malipo,ukusanyaji Kodi na customs systems wawape tenda wakongwe ulimwenguni kama Oracle ya Marekani wale wata deliver integrated systems zisizokuwa na glitches. Tra wawekeze haswaa.