FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,181
Reaction score
17,653
Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.

Kikosi cha TRA United SC

1775739154012.png

Kikosi cha Mnyama

1775739232893.png

Mechi imemalizika bila mbabe huku Mnyama akiendelea kujiweka mbali na mbio za Ubingwa msimu huu.
 
Ni kama simba fowardline ikifika ndani ya 18. Hawana plan ya kugongeana....
AURA anapiga, Mwalimu anapiga,, Gueyye anapiga ...
Kwani nn hilo halioni kila mechi...
 
Ni kama simba fowardline ikifika ndani ya 18. Hawana plan ya kugongeana....
AURA anapiga, Mwalimu anapiga,, Gueyye anapiga ...
Kwani nn hilo halioni kila mechi...
Shida ya simba kule mwisho kila.mtu anataka kuimbwa qummke
 
Back
Top Bottom