Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,760
Reaction score
37,366
Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani.

Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu.

Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima.

Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya kupata kodi nzuri na kwa wakati.

Ila umekuwa mwiba sana na kufanya mafanikio ya mwananchi yawe mkwepa kodi.

Hapa nitaanza na ushuru wa magari kwanza.

Ushuru wa magari ni mkubwa sana na kufanya kuonekana tanzania kumiliki gari ni ndoto mliyotengeneza nyie wenyewe.

Kwa nini ushuru huu ukabadilishwa kuwa namba ya usajili ni kodi ya mwezi kulingana na umri wa gari kama used au umri.
mfano gari umeagiza toka japani used milioni 10 limefika hapa na ushuru uwe milioni 4.

Hiyo milioni 4 inatakiwa bandarini kulipa milioni 1 gari kutoka.

kisha hiyo milioni 3 ikalipwa kwa mwezi na kama ni mfanyakazi au muajiliwa anatakiwa kwenye asilimia zenu mnaweka kukatwa kwa mwezi na kama sio muajiliwa au mfanya biashara inatakiwa ile Tax return au utendaji wake na umakini wa kodi unatolewa hapo kwenye faida yake.

Nisitoe mengi maana UVCCM wao sasa wapo kuwaza kuna kambi hipo kituo cha polisi wakiwa na ushaidi wanataka kuvuruga nchi
 
Kazi Yao kuzurura na kutembeza bakuli tu, juzi wameenda urusi ukiwasikiliza wanayoongea unaona kabisa haya ni kama mazezeta tu
 
Back
Top Bottom