tra

  1. Pakome

    Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  2. Amicable Group

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana...
  3. stakehigh

    TRA wana mfumo wa kufanya mnada wa vitu vingi bei ndogo sana, However atakaeweka bei ya juu zaidi yako anachukua

    https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833 Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding atakaekuzidi anachukua
  4. L

    TRA imeanzisha Mfumo Mpya Unaitwa IDRAS

    Ndugu Mjasiriamali habari, Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa. TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha -kusajili Kampuni yako TRA -Kupata TIN certificate -Kufanya Tax clearance...
  5. S

    TRA, je, ni kweli sasa hivi ukiingiza gari nchi kuna kodi kwa ajili ya dawa za UKIMWI(HIV)?

    Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa. Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000. Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
  6. L

    Wahi TRA Mapema

    Ndugu Mjasiriamali, Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA. Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines. Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
  7. Samia atosha tukutane2030

    Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

    Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi. Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 TRA yatoa pole waliopata changamoto wakati wa uchaguzi mkuu

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na changamoto wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Akiwa ziarani katika mikoa ya Kikodi...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  10. Mad Max

    Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

    Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania. Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji. Kua na gari Tanzania ni anasa.
  11. M

    Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
  12. S

    Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  13. Mhaya

    Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  14. Candela

    TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

    TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
  15. M

    Je, ofisi ya fundi ushonaji kwa cherehani hukadiriwa vp kodi na TRA?

    Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa. Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala mnisaidie naomba sana.
  16. Tajiri wa kinyankole

    Wajuzi naomba kueleweshwa TRA Imewezaje kuwa mwekezaji wa timu ya mpira ya Tabora united ?

    Kwangu mimi nachofahamu mamlaka ya mapato tanzania (TRA) kazi yake kubwa ni ukusanyaji wa kodi ambazo kodi hizo hupelekwa kwenye miradi ya maendeleo na kulipa watumishi katika taasisi mbalimbali Fedha hizo za uwekezaji kwenye mpira zimetoka wapi siyo kwamba ni njia ya utakatishaji fedha! Au...
  17. Damaso

    Kulikuwa hakuna ulazima wowote wa TRA kununua Tabora United?

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeibua mjadala mkali baada ya kutangaza rasmi umiliki wa timu ya soka ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA United Sports Club. Kwa maneno yao wamedai kuwa hatua hii, inalenga kuhamasisha ulipaji wa kodi wa hiari na kuimarisha uwajibikaji wa kijamii...
  18. DogoWaNjombe

    Mahakama yaamua Mfanyabiashara arejeshe fedha ambazo hakuziwasilisha TRA

    MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na Kifungu cha 83 cha Tax Administration Act, Kughushu kinyume na vifungu vya...
  19. Mad Max

    Polestar 5 EV Sedan imezinduliwa: Mswiden na Mchina wanatuuzia kwa Mil 320 bila TRA!

    Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5. Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition. Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
  20. Think2

    Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

    Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki...
Back
Top Bottom