"Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,251
Reaction score
7,655
Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo imesababisha kuvutana mashati na kuchapana Makonde.

Askari Polisi waliingilia kuwatuliza na bado sababu au chanzo cha sekeseke hilo hakija julikana wazi. Simba inakipiga dhidi ya TRA United.

Video: Olakajr Sports
 
Wakitoka hapo wanaenda CAS kudai points za uraia
 
Back
Top Bottom