Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023.
WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
anafanya
ashatu kijaji
biashara
dkt. ashatu kijaji
hafai
kariakoo
kikao
kubaki
mgomo
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nafasi
naibu waziri
ngoma
ngumu
ofisini
tra
uwekezaji
viwanda
wafanyabiashara
waziri
wizara
Walianza NEMC sasa ni zamu ya TRA kumgombanisha Rais na wananchi wake anaowapenda.
Ni ukweli usiopingika kuna Taasisi zinamuingiza Mhe. Rais katika mtego na wananchi kadiri siku zinavyokwenda, waliaanza NEMC na sasa ni zamu ya Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).
Wizara ya fedha na biashara...
Nimepokea ujumbe toka kwa viongozi wangu wa biashara kuwa jumatatu tunatakiwa tusifungue biasharaeneo la kariakoo. Nimeuliza wenzangu wameniambia kuwa tra juzi walitoa maelekezo ya kujisajili stoo tunazomiliki, kama mtu unayo stoo ya kuhifadhia bidhaa za biashara.nimempigia jamaa yangu kumuuliza...
Wadau habari, mimi nataka kuuliza.
Ikiwa ulikua ni mfanya biashara wakati na ulikua unalipa kodi vizuri tu TRA bahati mbaya biashara zikaenda mlama ukafilisika ukawa na deni kubwa TRA licha ya kuandika barua za kujitetea na kupewa mikataba mingi jinsi ya kulipa deni lakini ikawa umekwama bado...
Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara.
Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Jana niliishiwana umeme nyumbani kwangu. Kila nikijaribu kununua kwa simu kama nilivyosmzoea ilishindikana.
Leo nikaamua kwenda TANESCO kuulizia tatizo ni nini. Baada ya kuwapa namba ya mita yangu nikaambiwa kuwa sababu nyumba ni ya ghorofa natakiwa kulipia elfu tano kwa kila floor na deni...
Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu.
Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
Habari za wakati huu;
Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda.
Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili.
Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Ni kweli Bodi ya mikopo elimu ya juu inakusanya mikopo Kwa wanufaika kupitia TRA ambao wamejiari.
Maana tetesi zilipo ukienda kujisajili na kufungua TIN ya biashara TRA. Kuna gharama wanaongeza ambazo ni za HELSB.
Je, hizi tetesi ni kweli.?
Tangazo:
Habari za leo wateja wetu wapendwa,
Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number...
Habari Wana JF.
TRA Tanzania naomba ufafanuzi kwanini mfanyabiashara ambaye hayuko VAT akiuza bidhaa Kodi yake haikatwi kwenye faida badala yake anakatwa katika mtaji na faida kitu ambacho Kodi inakuwa kubwa ambayo inaelekea pengine wengi hukwepa Kodi(yaani kutoprint risiti za EFD)
Mtu...
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.