Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 949
- 2,865
WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI
Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote,
1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini.
2. Kodi ya mapato dukani na stoo.
3. Kulipia leseni.
4. Service levy.
5. Kulipia fire extinguishers
6. Kodi ya pango la frame Kariakoo.
7. Kodi ya pango la store.
8. Kibali cha Tbs.
9. Kodi ya parking.
10. Kodi ya majitaka.
11. Mfumuko wa bei,Machinga anauza 10,000 mwenye frame anauza 20,000 kufidia mikodi na tozo.
12. Kodi ya Choo.
13. Kodi ya Ulinzi dukani.
14. Kodi ya Ulinzi store,
15. Faini ya kila jioni ukikamatwa na mzigo toka dukani kurudisha store.
16. Bill ya Umeme.
17. Kulipa Wafanyakazi na wabeba mizigo.
18. Died stock.
19. Kodi ya meza nyumbani,na ada ya watoto.
20. Bima ya Afya.
Ebu Tra nanyi mfungue maduka Kariakoo mlipe hizi kodi zote,hili mjue sisi hela hatuchumi kwenye mti kuwapa ninyi na sijui kama zinafika mahali husika.