welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,695
- 3,593
Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi nikamdai mwenye fremu.
Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza sana hasa sisi wenye mitaji midogo na ndiyo tunaanza biashara.
Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza sana hasa sisi wenye mitaji midogo na ndiyo tunaanza biashara.