Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi.
Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi
1...
Naombeni muongozo. Sina connection TRA.
Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana.
Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora...
Habari wana Jamvi,
Ninafarijika sana kuona kiwanda chetu cha kubeti kimetambulika kuzalisha ajira zaidi ya 25,000.
Sisi kama wabetiji tuna dukuduku, ni kwa nini kwa kila mkeka tunakatwa kodi, Kwa nini hatutambuliki na TRA?
===
"Sekta ya michezo ya kubahatisha Tanzania imefainikiwa kuzalisha...
Habari za wakati;
Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS.
Nimekuwa Katika...
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu.
Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi.
Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme.
Anguko la...
Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki.
600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo...
Wafanyabiashara wa soko la Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumuondoa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Majimoto, Fraseck Mwakalenga kwa madai ya kukusanya kodi kiholela ikiwemo matumizi ya lugha za kukera.
Wakizungumza...
Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi.
Msikilize mwenyewe.
---
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo.
Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu.
Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya.
Je...
Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi.
Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe.
Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina.
Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".
Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia...
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.