tra

  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

    Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki. 600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wafanyabiashara wamkataa Afisa wa TRA

    Wafanyabiashara wa soko la Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumuondoa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Majimoto, Fraseck Mwakalenga kwa madai ya kukusanya kodi kiholela ikiwemo matumizi ya lugha za kukera. Wakizungumza...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  6. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania TRA wamemtambua mwenye biashara ya saluni kama mlipa kodi!

    Hii ni biashara ya bwana mdogo fulani, mji kasoro bahari. Familia yao ilikuwa ikinipokea wakati naenda shule hapo mji kasoro bahari. Mwaka juzi aliomba mtaji mdogo afungue biashara ya salon. Naona TRA wamemtambua kama mlipa kodi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni anapwaya! Trafiki wanajiamulia cha kufanya, magari yanajiendesha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi. Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

    Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA". Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

    Hii ya mwisho. Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu. TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu. Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania TRA

    Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!!
  13. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya toka TRA

  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

    Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
  15. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watatu wafikishwa Mahakamani kwa kuisababishia TRA Hasara ya Tsh. Bilioni 1

    Watu 3 akiwemo Emmanuel Nkalang’ano ambaye ni Mkurungenzi wa Wintech (T) Ltd, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashtaka 4 ikiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Tsh. Bil. 1. Wengine ni Rugainunula Lwekamwa na Mwita Nyakiha ambao...
  17. Execute

    JamiiForums Tanzania Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
  18. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

    Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend...
  19. B

    JamiiForums Tanzania TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
Back
Top Bottom