World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana.
Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku...
Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona.
Moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
Naombeni tofauti ya hao niliowataja hapo juu. Zoeni lililopita lilikuwa la "Kuondoa wa Machinga" ukiingia kwandani utapata maswali.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato, kuna viwango vilivyotajwa ili apewe kitambulisho cha wafanyabiashara ndogondogo.
Mzunguko wa mauzo ghafi kwa mwaka yasizidi...
Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy
Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
Pombe ni kinywaji kinacho burudisha na kumfanya mnywaji kupumzisha akili baada ya kazi ngumu.
Beer/Bia ni kinywaji kinachotafsiriwa kama a social drink. Mara nyingi hunywewa kwenye public house au pub. Inategemea ukubwa wa kijiji lakini kila kijiji huwa na pub ambapo wanaume hukutana baada...
Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya
Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
Kufikiria tofauti ni kitendo cha kuwa na wazo tofauti na lile lililozoeleka siku zote kwa watu wengi.
mfano kama watu wamezoea kupitia mlangoni basi wewe ihangaishe akili yako kubuni njia nyingine ya kutokea! Kwa maoni yangu nadhani kufikiria tofauti ndio chanzo cha mawazo mapya na ubunifu...
Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli.
CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake.
Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
Mimi nikiwa nje ya Tanzania najitambulisha kama Mtanzania, maana ndiko baba zangu walitoka au kuzaliwa au kuishi au waliamua wenyewe au mimi mwenyewe kuwa ni nchi yangu. Ukiwa ndani ya Tanzania ni mara chache utaamuliza mtu wewe ni Mtanzania, labda awe wa rangi nyingine unaweza kushuku anatoka...
Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari unalipia. Vipimo vyote unalipia, dawa zote unalipia. Kiufupi kila kitu unalipia kwa 100%.
Sasa nimeshindwa...
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema?
Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu.
Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao.
Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki
#TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai...
Habari wakuu...??
Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:-
1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi?
2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu zaidi tofauti ya michezo ya ngumi hususani KUNG FU na KARATE.
Leo naombeni kujua hili kwa wanao fahamu
Natanguliza shukurani sana na mungu awabariki!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.