Nawezaje kudesign window form App ambayo itaweza kufill data katika form tofauti tofauti

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,842
2,000
Habari wadau nadhani bado wengi hamjanielewa apo naomba nielezee kwa utulivu ili nipate msaada maana nimegoogle nimeshindwa.

Ipo hivi imagine kuna watu wengi wanafanya application sehemu kwa mfano humo kuna

Wenye wazazi

YATIMA

WALIOOA AU WALIOOLEWA NK


Sasa nataka nidesign WINDOW APPLICATION FORM app iwe na uwezo ufuatao

Iwe na form kadhaa ambazo nimeziandika in ms word let say.
  • FORM 1 personal details
  • FORM 2 kwa ajili ya yatima
  • FORM 3 kwa ajili ya wanandoa
YAANI GORM SELECTIONS mtu akichagua form ambazo anapaswa kujaza kupitia check boxes

DATA POPULATION hoo otadepend na form alizochagua apo juu zitatokea vibox venye label mbali mbali ili aweze kufill data zake

ATTACHMENT kuna baadh ya maeneo aweze kuaattach CERTIFICATE MBALIMBALI kulingana na form alizochagua

KUPOPULATATE DATA NAJUA ILA IO ISSUE YA KUCHAGUA FORM MMMH BADO NIMESAKA GOOGLE NIMESHINDWA km kuna mtu amenielewa please anipe ata jina la PROJECT AMBAYO NI OPEN SOURCE IWEZE KUNISAIDIA HII KAZI INAHITAJIKA HARAKA
 

acontinuer

Member
Dec 9, 2015
82
125
Computer ina mambo mengi mimi bado kabsa sijakuelewa ngoja nisubiri wakuu na mm npate somo hapa
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,903
2,000
Tumia tu creativity yako, hide and unhide components based on event ya selection ya checkboxes...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom