tigo

  1. Kurzweil

    Uchambuzi wa Hukumu ya Kesi ya Tigo Vs Mwana FA na AY

    Uchambuzi huu ni kwa mujibu wa Wakili wa Mahakama Kuu, Hamza (jina la Twitter, @hamzaalbhanj) Kitu cha kwanza kufahamu hapa ni kitu kinaitwa jurisdiction". Hili neno limetawala sana kwenye hukumu ya Mahakama Kuu ya Mheshimiwa Jaji De Mello. Jursidiction ni ule uwezo wa Mahakama kusikiliza...
  2. beth

    Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

    Mahakama Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoiamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki wa kizazi kipya Hamisi Mwinjuma (MwanaFA) na Ambwene Yesaya (AY) Sh 2.1 bilioni kwa kukiuka sheria za hatimiliki. Jaji Joacquine De-Mello amebatilisha uamuzi...
  3. Uwesutanzania

    Mitandao ya simu TIGO, AIRTEL, VODA NK. Msiifuate hii amri itatuumiza watumiaji wenu na FL wenu mtaani

    Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko. ====== Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
  4. C

    Tigo Internet

    Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni Hapo shida ni nini wakuu
  5. FRANCIS DA DON

    Mtandao wa Tigo jumbe za sms zinakwama hewani au haziendi kabisa, shida nini?

    Watu wengi wameripoti sms kwa kutumia mtandao wa Tigo zinakwama hewani kwa mud mrefu kabla ya kufika au haziendi kabisa moja kwa moja; Hii ni mbaya sana kwa sababu SMS zingine ni crtical zifike kwa muda muafaka vinginevyo unavuruga kabisa utaratibu wa maisha wa kila siku. Unaweza ukahisi mtu...
  6. TENGEFU

    Tigo na Voda mnatuibia kwa kutulazimishia bando za Usiku

    Nimeingia kununua bando mitandao yote kwa mtandao wa Tigo kama kawaida kwa kupiga *147*00# na voda *149*01#. baada ya kubonyeza button ya mwisho nikapokea kifurushi cha mwezi lakini kimeandikwa kitakuwa kinatumika kuanzia saa 4 usiku hadi saa 11:59 asubuhi. Huu ni wizi mkubwa kwa sababu...
  7. Magazetini

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  8. M

    Kero: Mtandao wa Tigo mnakera

    Huu mtandao unazidi kuwa KERO kwa BAADHI ya watumiaji. Hivi nikwanini mnagawanya dakika za kutumia mchana na nyingine za usiku? Tena eti kuanzia saa nne usiku, hivi mtu mzima anaongea mambo gani usiku huo kila siku? Kama kwa utafiti wenu mmeona wapo wateja wenu wengi wanatumia muda huo,basi...
  9. L

    Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    Kwa masikitiko makubwa naandika baada ya tigo kukwama kunirudishia line yangu hewani iliyopotea karibu mwezi sasa na line hiyo niliisajili kwa kutumia namba ya NIDA . Line nilipoteza tarehe 26 july 2020,na kwa sababu ya changamoto ya mtandao wa police loss report nikaja kupata loss report...
  10. Kurzweil

    Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

    Habari wanaJF, Website ya Mtandao Mkubwa wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania yadukuliwa na inaonekana wadukuzi wanadai Ransom ili waweze kuwaachia. Shambulio hili limetekelezwa kwa kufunga encrypt taarifa zote na ili ziwe decrypted ni lazima kiasi cha fedha kilipwe. Hata hivyo hakuna uhakika kuwa...
  11. wanzagitalewa

    Muungano wa Tigo na Zantel utakavyoimarisha huduma za mawasiliano ya simu Tanzania

    Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps. Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
  12. Mkogoti

    Ninadaiwa Tala, Branch, Tigo Nivushe, Nipige Tafu, M-Pawa, Songesha. Je, mimi ni nani?

    Habari za Jumapili? Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao, lakini uchumi wa kati baba/mama kwangu ni shida sana; unasumbua sana mimi kwangu upo wa mwisho...
  13. DrMatelephone

    Phone4Sale Wewe Ni Tigo Agent? Unatafuta Simu Yenye OTG?

    Kama unavyojua, Ili uweze kutumia application ya Tigo Agent unahitaji OTG. Na OTG zipo kwenye simu chache tu. Kwenye simu nyingine inabidi upoteze muda wako ku-donwload OTG kwanza ndio Iweze kufanya kazi. Sasa kama hutaki kupoteza huo muda. Na unatafuta simu inayokuja na OTG moja kwa moja...
  14. Ulimakafu

    Wenye mitandao mnatukera na meseji zenu za matangazo

    Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMS za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+, kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero. Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku...
  15. yahoo

    Tigo, Vodacom ni matapeli wa hali ya juu, hii ni baada ya kununua smart kitochi

    Baada ya kuskia matangazo ya smart kitochi, nikaenda zangu mliman city kushuhudia kitochi kikoje.nikaingia tigo kuzicheki zao then nikaingia voda, lakini nikagundua za Tigo ni bora zaidi ya voda, ingawa voda zinauzwa kwa bei ya chini na ofa zao ni nyingi ,yani wanakupa gb kibao dakika sms fb ya...
  16. Extrovert

    Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

    Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo. "Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!" Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! 🤣🤣🤣 Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
  17. M

    Jinsi watu wanavyolizwa na Tigo Niwezeshe

    Watanzania wengi wanaishi maisha ya kukopakopa. Huko kwenye kukopa ndiko watu wanalizwa vibaya sana. kama watanzania wengine nikaingia account ya tigo nikakopa airtime. Sasa nikasema ngoja ni clear deni lote leo. Haya ndo madudu niliyoyagundua; imebidi niandike ili watu tuwe macho kabla ya...
  18. MUBIKU

    Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote. Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
  19. M

    Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19. Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=? nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
  20. Mpogoro

    Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

    Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni. ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02 ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322 Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali...
Back
Top Bottom