Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Habari wanaJF,
Website ya Mtandao Mkubwa wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania yadukuliwa na inaonekana wadukuzi wanadai Ransom ili waweze kuwaachia.
Shambulio hili limetekelezwa kwa kufunga encrypt taarifa zote na ili ziwe decrypted ni lazima kiasi cha fedha kilipwe. Hata hivyo hakuna uhakika kuwa hata mkilipa fedha basi tovuto itaachiwa, jamaa wanaweza kugeuza mtaji na wakawa wanawachezea kila wakati.
> Idara ya ICT ya Tigo ilikwama wapi? Ingawa shambulio linaweza kuwa limetekezwa kupitia kifaa kimoja wapo cha mfanyakazi.
> Elimu ya usalama wa kidigitali ni muhimu sana kwenye haya makampuni kuanzia ngazi ya juu hadi kwa wafanyakazi.
Hatimaye wakaamua kufunga tovuti kabisa: