Wenye mitandao mnatukera na meseji zenu za matangazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye mitandao mnatukera na meseji zenu za matangazo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Aug 17, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMS za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+, kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero.

  Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku siyo bughudha za ku-persuade adverts ambazo zingine ni usaniii tu aka wizi.

  TUPUNGUZIENI KERO.
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui nani kawadanganya . wanakera sana na hizi matangazo zao na sms zao.
  Ninaimani ikitokea kampuni itakayokuwa haina kero za aina hii watu wote tutahamia huko.

  Nachukia hizi meseji nazichukia mnomno!
   
 3. K

  Karry JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kweli wanaboa kila hasa haya ya bahati nasibu then wanakata fedha nyingi
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nini kutuma sms wana tabia ya kupiga simu, umekaa unasubiri dili la maana, simu inaita unairukia ukipokea unakuta tangazo la kaka na dada sijui wanatokeana au ndo wanachati kero tuuuupu
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Yaani nimekereka mpaka uzalendo umenishinda kwa kweli.
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wanabore saaaana
  unakuta umelala unasikia simu
  unadhani jambo la maana
  unakuta matangazo ya kipuuzi
  aghhhhhh
   
 7. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda avarta yako inaujumbe mzito
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hakika,mpaka wananchi wake.
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kmbe ndo maana perfomance ya mtandao inakua hafifu kisa kujaza mitangazo yao.
   
 10. Researcher

  Researcher Senior Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wapi TCRA?
   
 11. H

  Hussein Twaha Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni heri kama wangeacha matangazo yabaki kuonekana unapouliza salio & kwenye cell Info Display yapokezane na taarifa za minara maana ukiyachoka unaswitch off, huyaoni tena kuliko sasa. Na matangazo haya naamini hayamo katika Vigezo na Masharti (Terms and Conditions).
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ofcourse inji imwuzwa
  mara mafuta watu wachache watubanie
  umeme uspimie lool
  juzi wamesema ndiooooooooooooooooo
  leo makali ya umeme mara mbili juu
  kuliko zamani haki ya mungu naichukia
  hii nji kwa sasa   
 13. ram

  ram JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Mimi naomba mnisaidie mbali na hayo matangazo lkn pia nimechoka kuibiwa hela yenyewe naitafuta kwa mbinde. Mfano leo mchana nilikuwa na sh 14056/ kufika jioni naangalia salio nakutana na sh 178/ na sijapiga simu wala kutuma sms au siku hiz ukipigiwa cm pia wanacharge? Nie Tigo mbona ni wezi sana. Naombeni msaada wa kisheria nikashtaki wapi warudishe hela zangu manake hii si mara ya kwanza
   
 14. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  naunga hoja mkono hasa hawa eatel na namba yao hii +15656 kwa cku napokea sms karibu kumi wanakera sana!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Fuc.k. Off tigo ..
   
 16. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br /
  Kweli mkuu umenena maana unaweza kuwa uko shughuli muhimu mara unasikia mlio wa sms unakimbilia kumbe inahusu mitandao
   
 17. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Kama ukiwa ndo una browse mara sms unakata page yako ukaisome mara unakuta matangazo yao. Dah huwa nnachukia mpaka basi. Mi cjawai shiriki chochote lakini balaa hawaachi.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Yaani mkuu hawa wanatakiwa kuwa na strategy mpya ya biashara,hii inaudhi sana.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Tigo mimi nilishagombana nao sana mpaka wakanirudishia salio,baada ya kumuona boss wao pale Majani ya chai.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Biashara matangazo.
  Mzee ulikatishwa uhondo nini ukajua sms ya dili kumbe tangazo.
   
Loading...