tigo

  1. NGolo Kante

    Tuliowahi kudhulumiwa na Mtandao wa Tigo Tanzania tukutane hapa

    Mnamo Jumanne ya Tarehe 11 mwezi huu (Februari 2020) nilinunua kifurushi cha Internet kwa njia ya Tigo Pesa. Ndugu zangu wana JamiiForums yakapita masaa 24 bila ya kupewa kifurushi wala kupewa taarifa yoyote. Nilichukua hatua ya kuwapigia Huduma kwa Wateja, nikajibiwa kifurushi changu...
  2. Boniphace Kichonge

    Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

    Wadau
  3. mashonga

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU: Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge. ===== --- --- --- --- --- --- ===== WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI: --- ---...
  4. MzaramoTz

    Tigo ukitaka kujiunga sms tupu unatumia menu gani aisee...?

    Wadau wote salaam. Naona kuna mabadiliko kwenye menu za vifurushi vya tigo yamefanyika siku mbili tatu hapa nyuma. Sasa katika pitia pitia zangu katika hizo menu mpya mbona sioni package ya sms tupu wakuu...? Mwenye kufahamu naomba anijuze wadau. Thanks.
  5. Mung Chris

    Laini nyingi sana za M-Pesa na Tigopesa hazitafanya kazi kuanzia leo

    Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
  6. Jamii Opportunities

    Commercial Manager- MFS Corporate and Partnership at TIGO

    Job Country: Tanzania Job Purpose You will be responsible for expanding Tigo Pesa market position with corporations and partners by driving the company’s overall growth strategy of bringing on new clients and increasing usage of the existing companies. You will also quantify new industry...
  7. Jamii Opportunities

    Regional Sales Manager at TIGO Kilosa

    Regional Sales Manager Kilosa Job Country: Tanzania Job Purpose Ensure achievement of sales objectives in this region and correct implementation of company strategy through effective coordination of sales and distribution to achieving above target revenue growth We Lead and Contribute By...
  8. Ninja assasin

    Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

    Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
  9. Patallo95

    Jinsi ya kupata Facebook bure kwenye Tigo Kitochi 4G

    Heshima kwenu. Mimi natumia kitochi cha Tigo. Naomba usaidizi wa kuwezesha Facebook bure kwa miezi 6 kwa anayefahamu. Niliagiza simu kwa hiyo sikuweza kupata nafasi ya kuwekewa ofa zao.
  10. Mr. MTUI

    Riba za Tigo Nivushe ni kubwa sana

    Embu jionee.
  11. D

    Mwenye contacts za Mtendaji Mkuu wa Tigo

    Raia wenzangu, kuna anayejua namba ya simu ya Mtendaji Mkuu wa Tigo tumfikishie matatizo tunayopata na huu mtandao wa Tigo. Hiyo team ya Customer Service aidha hawajui watendalo au ni wajeuri. Something has to be done about the Customer Service team.
  12. wanzagitalewa

    Muungano wa Tigo na Zantel utakuza uchumi kupitia soko la mawasiliano ya simu

    Ilitangazwa siku za karibuni kuwa Tanzania imepanda toka nafasi ya 144 hadi ya 141 katika taarifa ya Benki ya Dunia kuhusu ubora wa mazingira ya kufanya biashara. Hii inaifanya Tanzania kuwa nafasi ya nne katika eneo la Afrika ya Mashariki ukitazama nchi 190 duniani ambazo ripoti hiyo...
  13. Author

    Mtandao upi uko Poa kwenye internet mikoani kati ya Vodacom na Tigo

    Habari Wana JF, Nataka kuwa B2B (Business to Business) customer kwenye moja ya mitandao niliyoitaja hapo juu ambapo nitakuwa nanunua kifurushi kila mwezi. Huwa natumia sana kwenye internet. Naomba kufahamu ni mtandao gani mzuri sana kwenye internet. Nipo Mbeya Natanguliza shukrani wadau
  14. M

    Tigo na Airtel acheni usumbufu kwenye kusajili laini

    Haya makampuni ya Simu ya Tigo na Airtel yanafanya zoezi la usajili wa laini kuwa gumu kutokana na utaratibu wao wa kipekee waliojiwekea. Ukienda kusajili laini Vodacom unatakiwa uoneshe kitambulisho chako cha NIDA pekee alafu unawatajia namba zako za Vodacom unazotaka kusajili (hata kama ni...
  15. Nuraty J

    Mtandao wa Tigo ni kero

    Morning Kiukweli Tigo jamani wanakera sana, tarehe 31 October mzee amenunua kifurushi cha tsh 2500 kwa njia ya Tigo Pesa, cha ajabu hela wamekata kwenye Tigo Pesa yake na kifurushi hajapata mpaka hii leo, kila anapopiga simu wanamuambia tatizo linashughulikiwa, ni wiki sasa, japo ni hela ndogo...
  16. B

    Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

    NAYASHITAKI MAKAMPUNI MANNE YA SIMU. BASHIR YAKUB, Wakili. 0714047241 Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30...
  17. Dive

    JOB OPPORTUNITY: Project Manager at Millicom (Tigo) Company at Dar es Salaam, TZ

    PROJECT MANAGER Seniority Level Entry level Industry Human Resources Retail Financial Services Employment Type Full-time Job Functions Project Management Information Technology JOB PURPOSE The role of the Project Manager is to plan, execute and finalize projects according to strict...
  18. makandemoja

    Picha za Mzungu anayemiliki Tigo Tanzania

    Habari wana Jamvi! Dada Cristina Mayville Stenbeck mwenye umri wa miaka 39 (Asili yake Sweden) ndio mmiliki halali (Chairman and principal owner) wa kampuni ya Investment AB Kinnevik. Kampuni hio inafanya biashara za Holding ambapo inamiliki makampuni kadhaa makubwa kama Zalando, Millicom...
Back
Top Bottom