Kwani hoja zinazoletwa huku ni za nini, kwanini watu wasiwe wanapiga simu mamlaka husika na kuachana na mitandao? Mfano unapiga tu simu polisi, au TCRA then mchezo umeisha, kwanini mnaletaga hoja huku?Sasa unaleta huku tukasaidie nini na huduma kwa wateja tigo wapo?
Kwani hoja zinazoletwa huku ni za nini, kwanini watu wasiwe wanapiga simu mamlaka husika na kuachana na mitandao? Mfano unapiga tu simu polisi, au TCRA then mchezo umeisha, kwanini mnaletaga hoja huku?
Mwenyewe nishaogopa kwakweliUna salio kiasi gani maana sasa hivi bora kuweka kwenye kibubu.
Hilo swali wa kuliuliza alikuwa Melo siyo wewe ambaye umekaribishwa pia,hivi umewahi kuwapigia Tigo customer care ukafanikiwa kuongea na muhudumu?Sasa unaleta huku tukasaidie nini na huduma kwa wateja tigo wapo?
Kupiga namba100 hakuna msaada wowote.Unajichelewesha bure namba 100 ipo bure, ofisi zipo. Kama unadhani huku ndio watakusadia sawa.
Unadhani lengo la uzi ni kusaidiwa? Lengo ni kujadili kwa ujumla ili pawe na msukumo walau wa kulipwa fidia ya damages caused kwa umoja wetu, umoja ni nguvu, mkipiga simu mmoja mmoja mnakosa nguvu, hili si tatizo la mteja mmoja, wote linatukumbaUnajichelewesha bure namba 100 ipo bure, ofisi zipo. Kama unadhani huku ndio watakusadia sawa.
Hilo haliwezekani, credit and debit flow ya account zao ipo constantly monitored na BOT, hilo haliwezi tokea, maana si wao wanakaa na fedha, ni benki ndio inakaa nazo.., na si benki moja, ndio maana unaweza kutuma pesa toka Voda kwenda tigo, and vice versa, au Tigo kwenda benkiWameishiwa fedha!