tigo

  1. B

    Tigo, nini umuhimu wa hii huduma ya "Longa Nae"?

    JF, Naomba kujadili Hawa jamaa wa TiGO Nini hii Longanae, utakuta nusu ya airtime ambayo unalipia mfano kwa Sh 3,000 kifurushi Cha Combo kwa wiki unapata muda wa maongezi dakika 200. Kati ya hizo dakika 100 wanazi-fix automatic kwa mtu mmoja tu unayemchangua kuongea nae muda mrefu na dk 100...
  2. S

    Tigo mmekuwa unreliable

    Habari wana Jf, nadhani kuna tatizo upanda wa Tigo especially Tigo Pesa ndani ya miezi miwili haiwezikana huduma za Tigo pesa ziwe zinashida, tatizo liko wapi? Kama ni watu wa IT badilisheni au kama ni mitambo ya zamani badilisheni. Hivi mnatambua kama kuna watu wanatumia tigo pesa kama wallet...
  3. KAYAMASKINI

    Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

    Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu...
  4. Chizi Maarifa

    Mtandao wa tigo ni Wezi wa Data

    Leo mimi mwenyewe ni mwathirika wa wizi wa bundle unaofanywa na tigo. Yaani kudownload nyimbo 3 ambazo jumla hazifiki 20MB na kutumia JF na Whatsapp. Nacheck muda huu nina 34MB katika one GB nliyokuwa nayo asubuhi. Huu ni uhuni na wizi wa kiwango kikubwa sana. Hakuna kitu ambacho nmefungua...
  5. MK254

    Duh! Tigo na Zantel zimeishindwa Tanzania, kuuzwa

    Wanaihama Afrika kabisa.... ==== Millicom International Cellular S.A. (Millicom) is selling its Tanzanian subsidiaries (Tigo and Zantel), the company announced on Monday, 19 April 2021. The telecom firm, which is listed on Nasdaq (New York City) and Stockholm (Sweden) stock markets, said in...
  6. M

    Nchi 16 zinazotumia Tigo South America na central America

    Mzuka wanajamvi! Hizi ndizo nchi 16 zinazotumia mtandao wa simu Tigo. Katika bara la South America na Latin America (Central America) South America Argentina, Uruguay, Brazil, Paraguay, Bolivia, Chile, Peru, Colombia, Mexico Central American countries. Costa Rica El Salvador Guatemala...
  7. MURUSI

    Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialist economy

    Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu. Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje. Habari zaidi: Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
  8. haszu

    Suala la Vifurushi ndo limeshapita! Vodacom, Tigo na Airtel wameitunishia misuli Serikali

    Ukiangalia marekebisho wanayosema wamefanya ni ujanja ujanja tu, hakuna kilichofanyika, kifupi hii naona ndo imeshapita tayari tuendelee kuisona namba.
  9. T

    Kesho nafungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Kesho natalajia kufungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania kwa kukiuka haki za mlaji/mteja wake. Tokea jana tarehe 6/04/2021 saa 11.15 jioni miamala ya tigo ilikuwa haitoki wala huwezi kuangalia salio niliwapigia simu 3.30 usiku wakasema ndani ya masaa 24 huduma itakuwa imerudi, Leo...
  10. E

    Tigo pesa imerudisha menu tu mazinguzi bado pale pale

    Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
  11. R

    Tigo pesa kulikoni?

    Jana nilifanya muamala kwa shida. Leo tangu asubuhi najaribu lakini huduma haipatikani. Kila nikijaribu naambiwa system maintenance 🤔
  12. Kurunzi

    Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

    Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo. Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
  13. F

    TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  14. Baba duu Magezi

    Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

    Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...
  15. JF Member

    Tigo Customer Care kuna shida gani hampokei simu za wateja?

    Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua. Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu. Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
  16. W

    Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  17. B

    Kwaheri TIGO Mobile Network, Unachosha kwa Usanii!

    Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi. Baadhi ya kero za TIGO Mobile: 1. Unalipia kifurushi (data au muda wa...
  18. Erythrocyte

    Hivi hii kampeni ya Jazwa Ujazwe ya Mtandao wa Tigo ina ukweli wowote?

    Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje? Nimeuliza kwa...
  19. M

    Nashindwa kupata huduma ya Tigopesa, shida nini?

    Tigo tusaidieni maelezo,*150*01# inagoma inasema "Ndugu mteja, namba hii haipo. Kupata huduma za Tigo Pesa, piga *150*01#" wakati umepiha namba hiyo hiyo. Wanazingua
Back
Top Bottom