Uzi huu mahsusi kushauriana ,Michongo, Connection za kazi na kutiana moyo.
👉Familiar Hakikisha kila unachoingiza weka akiba ya %10.
👉Dhama zetu maarifa ni lazima Hivyo Hakikisha kila siku angalau umesoma page 2 za kitabu.
👉Huwezi kutajirika kwa kunyooka 100%, hicho kitu hakipo, lazima ucheze...
Assalam alaykum enyi watumwa wa Allah. Assalam alaykum enyi wakereketwa wa mtume Muhammad (s.a.w).
ALLAHUMA SWALII A'LAA MUHAMMAD YARABBI SWALII A'LAYHI WASALIM
Hakikaka mtume ndo mbora wa viumbe. Hakika mbora wa viumbe ndiye mbora wa elimu. Hakika mbora elimu ndiye mbora wa matendo. Hakuna...
Mzuka!
Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata.
Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina).
Mufti kuku The Infinity
BICHWA KOMWE -
Maghayo
#Uzi_Tayari
Napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sabato.
Sabato ikawe njema kwenu nyote.
Sabato yako ikawe njema kupitia uinjilishaji huu kupitia nyimbo
Uzi huu utahusisha nyimbo za SDA pekee, karibuni wapendwa.
NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL).
Timu za NBA zimegawanyika mara mbili katika Eastern Conference na Western Conference. Katika msimu wa...
Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe.
Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako.
Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na...
Nimehamasika na maajabu anayofanya huyu rais kijana nchini mwake tena kwa kipindi kifupi sana na kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani.. Ni wazi si wazungu tuu bali hata marais wenzake wa Afrika wanamuonea wivu na kijicho
Kumuenzi nimeamua kuuweka uzi huu maalum kwa ajili yake ukawe Kama...
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja.
Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo.
Siri ya biashara inayojiendesha ni...
Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake.
Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa.
Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Tumsifu YESU KRISTO. AMINA
Tumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo hasa kwa kumtuma mwanae aje atukomboe . AMINA
PASAKA ni nini pasaka ni kuteseka/mateso/ kifo/kufa/na kufufuka kwa YESU KRISTO
PASAKA ilianzia misiri lakini badae wana...
Full name: AFC Bournemouth
Nickname(s)
The Cherries
Boscombe
Founded: 1899; 126 years ago (1899) (as Boscombe)
Ground: Dean Court
Owner: Black Knight Football Club UK Limited
Chairman: Bill Foley
Manager: Andoni Iraola
League: Premier League
Website: afcb
Nickname(s): Roș-albaștrii (The Red and Blues)
Founded: 7 June 1947
President: Valeriu Argăseală
Head Coach: Elias Charalambous
League : League 1
Website: fcsb
Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.