thread

  1. Rayns

    Need Testers? Share Your Software Here | Weka Software Yako | Get Feedback

    Habari Developers, Kama una software/app/project na unahitaji watu wa ku-test na kukupa feedback, iweke hapa 👇 Include: Jina la app/project Link ya ku-download au ku-access Platform (Web, Android, iOS, Desktop, n.k.) Unachotaka kitestiwe (bugs, UI, performance, au vyovyote, n.k.) Testers...
  2. The Dictator

    Series: From SPECIAL THREAD

    FROM. Kama wewe ni mpenzi wa Mystery, Sci-Fi, na Horror (kama uliipenda 'LOST'), basi hapa ndipo mahali pako. UTANGULIZI: Inahusu nini? FROM inatupa picha ya mji mmoja wa ajabu katikati mwa Marekani ambao unawanasa watu wote wanaopita barabarani. Ukishaingia, huwezi kutoka. Kila ukijaribu...
  3. Vien

    Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  4. Doto12

    Songesha: Special Thread

    Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
  5. Mshana Jr

    CHADEMA Special Thread

    Uzi wa matukio mbalimbali ya CHADEMA . Madhila wanayopitia.. Vita wanazopigana.. Mafanikio wanayopa .. Na namna wanavyomgaragaza adui kwenye kila kona.. Kila saa na kila wakati Karibuni wote! Friends and foes!
  6. mcTobby

    Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  7. M

    Hizi thread za eti JPM ni chanzo cha uovu wote uliopo, ni za kishamba na kujaribu kumuosha anayepaswa kunyongwa na kupelekwa ICC

    Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote unasifia kuupiga mwingi Mo 29 Nyuzi zote hizi zinalengo la kutaka kutuliza mioyo ya walioumizwa na...
  8. Kingsmann

    Ateba Gautier Special Thread: The Hardest Hitter in the UFC Right Now!

    Kuzaliwa: 10 Aprili 2003 (Miaka 23) Utaifa: Cameroonian Urefu: 193Cm Kwa sasa huyu dogo anatisha sana UFC. Wanamuogopa kama ukoma maana dogo ana "Ngumi Jiwe" haswa. https://youtu.be/5jslFPnu-iw?si=EhYcPO84gWQUGE2j
  9. Miss Natafuta

    2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

    Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe 2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu. Huu mwaka kimyaaa Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje...
  10. Mtoto wa tajiri

    Car Battle Thread: 2011 Ford Crown Victoria vs 2011 Toyota Crown

    Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
  11. uran

    Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    AFCON 2025 – Analysis AFCON 2025 itafanyika nchini Morocco Mashindano yataanza 21 Desemba 2025 na yatamalizika 18 Januari 2026. Timu 24 zimepangwa kushindania. Kutakuwa na makundi 6 (Group A–F) na kila kundi litakuwa na timu 4. Group A Morocco, Mali, Zambia, Comoros Group B Egypt, South...
  12. Mshana Jr

    The countdown: Updates kuelekea D9 special thread

    Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo yanaweza kuanza mapema kabisa kuanzia tar 5 na tarehe 9 ikawa ni kilele na hitimisho Hii ni mada...
  13. Mshana Jr

    Special thread: National geograpic best shorts

    A collection of animals, insects and other creatures photos taken by various professional photographers around the world...! Selected best shots! Wild Domestic Marine Enjoy the wonderful moments in the animal world❤❤❤📍 Credit goes to Facebook animal groups
  14. kiss ov love

    Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

    Habarini wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka. Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri. Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
  15. Isaka James

    Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  16. M

    Mashati ya kiume special thread

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Nauza mashati ya kiume size zote Kwa Bei nafuu Nafanya deliver mikoani na ndani ya dar es salaam Karibuni sana 0686153806 Whatsapp Bei ya rejareja Kwa mashati ya mikono mifupi ni 20,000/- Mashati ya mikono mirefu ni 25,000/- Mazungumzo...
  17. Hharyson

    Kama unahitaji design ya dream house yako fuatilia hii mada

    ave thread maana tutapost design nyingi kali hapa from our design gallery, tunapost daily +255624004650
  18. Roving Journalist

    GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  19. immortanity

    Special Thread | UEFA Champions league, 2025/2026

    Huu utakuwa uzi maalumu kwa ajili ya mashindano ya mabingwa ulaya (UEFA) updates zote
  20. Mi mi

    DISS TRACKS THREAD

    Nas - Ether What's up niggas, hey yo, I know you ain't talking 'bout me dog You, what? ("Fuk Jay-Z") You been on my dick nigga, you love my style, nigga ("Fuk Jay-Z") Fuk with your soul like ether (Will) Teach you the king you know you (Not) "God's son" across the belly (Lose) I prove you lost...
Back
Top Bottom