TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.

Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.

Yaani kuwe na room ya makundi haya kukutana uso uso na kila kundi litoe hoja zake kuhusu mkataba huu wa DP WORLD uso kwa uso.

Kundi la Baba levo, Mwijaku, Zembwela, Maulid Kitende, Kibajaji, Musukuma, Steve Nyerere, Hando likiongozwa la Tulia Akson likutane uso uso na kundi la Prof. Tibaijuka, Lissu, Lema likiongozwa na Prof. Shivji wakutane kwenye mdahalo wa DP WORLD.

Kwa maendeleo mapana ya taifa TIC itisheni mdahalo na uwe live kwenye television zote nchini.

TIC fanyeni hivyo tafadhali.
 
Tunataka uandaliwe mdahalo mbashala/live kati ya wanaotetea mkataba kina Waziri Marawa na wapambe wake kina Kitenge nk dhidi ya Profesa Shivji na timu yake ya kina Tundu Lisu nk.

Hapo bila shaka kuna timu itataka dunia ipasuke halafu iwafikie, maana si kwa aibu ile!!
 
Mdahalo uwe kuhusu uwekezaji wenye tija. Hakuna mtu anapinga uwezekaji wenye manufaa kwa Tanganyika na Tanzania.

Kitenge na Shivji ni mbingu ardhi.
 
Ukiwauliza watanzania wote, karibuni wote wanahitaji wawekezaji waje nchini lakini si wakwapuaji. Tunataka win-win situation. Lazima na sisi tunufaike, lakini huu mkataba hautaji sisi tunanufaika vipi. Hautaji wanawekeza kiasi gani, mkataba ambao unasema hauwezi kuvunjika hata kama ikatokea hali ngumu kiasi gani!! Huo ni mkataba wa kishet*ni!!
 
Mkataba mzuri lazima ujisemee, ujitetee!! Lakini huu mkataba unasemewa na wapambe kina kitenge kwa mambo ambayo wenyewe uko kimya!!
 
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.

Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.

Yaani kuwe na room ya makundi haya kukutana uso uso na kila kundi litoe hoja zake kuhusu mkataba huu wa DP WORLD uso kwa uso.

Kundi la Baba levo, Mwijaku, Zembwela, Maulid Kitende, Kibajaji, Musukuma, Steve Nyerere, Hando likiongozwa la Tulia Akson likutane uso uso na kundi la Prof. Tibaijuka, Lissu, Lema likiongozwa na Prof. Shivji wakutane kwenye mdahalo wa DP WORLD.

Kwa maendeleo mapana ya taifa TIC itisheni mdahalo na uwe live kwenye television zote nchini.

TIC fanyeni hivyo tafadhali.
Usimdhalilishe Musukuma anaitwa Dr. Musukuma.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini.

Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD.

Yaani kuwe na room ya makundi haya kukutana uso uso na kila kundi litoe hoja zake kuhusu mkataba huu wa DP WORLD uso kwa uso.

Kundi la Baba levo, Mwijaku, Zembwela, Maulid Kitende, Kibajaji, Musukuma, Steve Nyerere, Hando likiongozwa la Tulia Akson likutane uso uso na kundi la Prof. Tibaijuka, Lissu, Lema likiongozwa na Prof. Shivji wakutane kwenye mdahalo wa DP WORLD.

Kwa maendeleo mapana ya taifa TIC itisheni mdahalo na uwe live kwenye television zote nchini.

TIC fanyeni hivyo tafadhali.
Naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom