Taja vipindi vya televisheni vinavyoharibu maadili ya Kitanzania

Pesanyingi

JF-Expert Member
Apr 15, 2023
396
639
Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza.

Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi kwa wanawake dhidi ya wanaume, tofauti kabisa na Mila na tamaduni za Kiafrika.
 
MAADILI ARE NOT UNIVERSAL ACHANA NA UJINGA HUO sHUGHUL;IKA NA HIZI SHERIA ZINAZOTAKA KUTUNGWA KUUMIZA WATU
 
Dadaz pale EATV. Kile kipindi hata wanawake wenyewe huwa wanalalamika wale mapresenter wa kipindi kuwa hawajielewi hata kidogo wana akili za kitoto na usichana mwingi ingawa wamezeeka tayari.

Na wote hawajaolewa sasa sijui wanajaribu kufanya nini pale
haaaa kumbe ni ma singo mama? ndo maaana
 
Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza.

Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi kwa wanawake dhidi ya wanaume, tofauti kabisa na Mila na tamaduni za Kiafrika.
Huku Ibologelo hiyo Tv chanel haijawai kurushwa hewani mkuu..
 
Back
Top Bottom