China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
16,427
21,546

CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY​

MAY 25, 2024

The video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing the Chinese public for the coming war and possible political sanctions and isolation!!
According to Chinese Defence Ministry sources, the Chinese army will launch an attack on Taiwan in early June.
Beloe is a video of China State Television from Saturday morning

WARNING TO U.S.
China also publicly warned the United States to end all visits to Taiwan and adhere to the One-China policy, or be ready to face the consequences.
No response from the U.S. or anyone else yet.

ONGOING MILITARY "EXERCISE"
Two days ago, the people of Taiwan awoke to find their island surrounded by Chinese warships,
This morning China has completely surrounded Taiwan in all directions. China currently has over 30 ships and 40+ fighter jets active in "training." The map below shows the situation:

Taiwan Defense Forces on its part says it will destroy the Three Gorges dams if China invades the rogue Chinese province!!

* FLASH UPDATE 10:47 AM EDT * - CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" -- WARNS U.S. . . .

MY TAKE:
Whether China will attempt to take Taiwan in early June remains to be seen and is anybody's guess. What is becoming more clearer though is that the chaos and the rumours of wars around the World have one master because they are so well co-ordinated, otherwise, why should they happen at the same time? To me, it seems the fearmongering is intended to scare humanity and erode its confidence so that it is easy to manipulate, take over and control. Humanity must prepare for any eventuality,2024-2930 will be crucial.
tAIWAN-mISSILE-lAUNCHER.jpg
 
Attachments

  • China-State-TV-Take-Taiwan-Early-June.mp4
    3.2 MB
Mwaka huu wa 2025 unataka kuwa mbaya sana na kumbukumbu za zitawekwa vizazi hadi vizazi.

Itakuwa vita mbaya na sijui nini kinatengenezwa maana Putin kaenda Chini wiki iliyopita kama sijakosea na ataenda N.Korea mwezi June.

U.S.A asiingilie maana huku Africa sijui tutaishi vipi
 
Mkuu kwa jinsi nilivyochunguza mambo,tujiandae,hasa kiroho, the very near future, yaani 2024-2030,itaamua fate ya humanity.Yes,the situation is as bad as that.
 
Kuna vita zinakuja, kuna pandemic inakuja, kuna hali mbaya ya uchumi inakuja.
Weka akiba kwa kadiri Mungu atakavyokuongoza.
 
Mwaka huu wa 2025 unataka kuwa mbaya sana na kumbukumbu za zitawekwa vizazi hadi vizazi.

Itakuwa vita mbaya na sijui nini kinatengenezwa maana Putin kaenda Chini wiki iliyopita kama sijakosea na ataenda N.Korea mwezi June.

U.S.A asiingilie maana huku Africa sijui tutaishi vipi
Tutaishi kama chawa wao kwani ndio mwisho wa kufikiri kwa Ntu Mieusi🤭
 
China kuingia kwenye vita na Taiwani litakuwa ni kosa kubwa sana, atajaribu hata alichonacho, Putin anataka kumuingiza kwenye mjenge, Ukraine imemshinda, kamvimbisha kichwa Iran matokeo yake Iran amejikwa kwenye jiwe la pembeni lililoachwa na waashi.( Israel)
 
Manabii wa uwongo wamejaa humu hakuna cha vita wala cha nini kwani China anafahamu vizuri sana madhara ya vita na akijidai kupigana tu ndio kufilisika kwake kiuchumi.

Hamuwezi kushinda vita eti kisa mko wengi, wingi wa watu sio kigezo cha kushinda vita na laiti ingekuwa hivyo basi waarabu na waislam wote kwa ujumla wangeisha ishinda Israel kitambo sana.

China akithubutu kuivamia Taiwan atapata kipigo ambacho hatakaa asahau mpaka mwisho wa dahari.
 
Kuna umri ukifika internet inakua sio sehemu sahihi kuwepo. Digital literacy ya Leo si kutumia mouse na keyboard peke yake, navigating the web with all its minefields is a skill. Bahati mbaya haifundishwi. Ukiongeza na capabilities za generative AI zinazokua kila siku, ni wazi jamii zetu haziko tayari Kwa dunia hii. Nakumbuka kipindi cha uchaguzi 2020 mzee mmoja mstaafu msomi tu alinionyesha picha ya kipande cha gazeti kina story na picha iliyokuwa inamhusisha Tundu Lissu na ushoga. It was a clear digitally doctored image, a poor graphics job at that, so much so that it couldn't even have been a Photoshop product. I am talking Microsoft word graphics poor. Mzee wa watu swore by it. Sasa mtu kama huyu ataweza navigate dunia ya Gen AI kweli?
 
Ndio maana wamejenga visiwa vitatu kwenye bahari ya South China na kuweka military bases
Kumbe walikuwa wanajiandaa na haya
Na sisi atutengenezee kisiwa kimoja maana maneno yamezidi kila leo znz
 
Manabii wa uwongo wamejaa humu hakuna cha vita wala cha nini kwani China anafahamu vizuri sana madhara ya vita na akijidai kupigana tu ndio kufilisika kwake kiuchumi.

Hamuwezi kushinda vita eti kisa mko wengi, wingi wa watu sio kigezo cha kushinda vita na laiti ingekuwa hivyo basi waarabu na waislam wote kwa ujumla wangeisha ishinda Israel kitambo sana.

China akithubutu kuivamia Taiwan atapata kipigo ambacho hatakaa asahau mpaka mwisho wa dahari.
China yenyewe ndio imesema mkuu,sasa mimi ntakuwaje Nabii wa uongo tena.Waambie China basi ni Nabii wa uongo sio mimi.Na nchi itajitoleaje unabii wa uongo.Sana sana ungesema wanadanganya hawawezi kuivamia Taiwan.Ongeeni vitu vinavyo eleweka bandugu
 
Itakuwa furaha ya Marekani! Marekani inapoteza nguvu zake kiuchumi na kijeshi duniani kwa hiyo inatumia kila liwezekano kutengeneza vita ili kuziporomosha nchi nyingine kiuchumi ibaki superpower!
Akifanikiwa kuichonganisha China na Taiwani zikaingia vitani atakuwa upande wa Taiwani kuidhofisha China kiuchumi.
Vita vya Russia na Ukraine-anaitumia Ukraine kuidhofisha Russia kiuchumi.
Amezifanya nchi za Ulaya kuacha kuitegemea Russia kwa Nishati ambayo ni cheap kuliko ile ya Marekani,uchumi wa Ulaya umedhoofika.
Nk
 
Uchumi wa China unazitegemea sana Marekani na Ulaya hasa kwenye upande wa biashara, tofauti na ilivyo urusi......hivyo kujiingiza kwenye vita na Taiwan kunaweza kuwaweka kwenye hali ngumu sana kiuchumi...
 
Mkuu kwa jinsi nilivyochunguza mambo,tujiandae,hasa kiroho, the very near future, yaani 2024-2030,itaamua fate ya humanity.Yes,the situation is as bad as that.
Umeongea ukweli kabisa mkuu. Mambo hayako sawa kabisa. Bill gates nae alishatangaza fase 2 ya corona ambayo itakua much worse than the previous one. Tunaweza kua na lockdown pia. Sasa ukijumlisha na vita hii inayonukia, hakuna namna nyingine ya kujiandaa zaidi kujiandaa kiroho.
Maisha yetu watanzania yanategemea utafutajiwa kila siku ili mambo yaende.
 
Nilitarajia Ukraine pawe pepesi sana ila mambo yakawa sivyo.
Taiwan yeye hapigi kelele.

Kama walishindwa mzuia Nancy hadi akatua Taiwan, akalala na kuondoka sembuse kuvamia.
Taiwan sio Ukraine
Timing tu, huku mashariki ya kati kinuke pia
 
Back
Top Bottom