Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
830
520
Habari wakuu,

Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.

Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct message (pm/dm) au whatsapp 0656388678
 

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
830
520
Kama una ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV na uko tayari kufanya kazi on commmission basis tuwasiliane. Nahitaji mtengenezaji tu mimi nitayalipia kwenye Tv channels za nje. Nina project kadhaa ila tutanza na project ya utalii. Nicheki kwa simu/whatsapp 0656388678, 0789904445 au email mlimakilimanjaro@gmail.com
 

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
830
520
Graphics Designing na Commission based payment wapi wapi?
Ni eidha kati ya vitu viwili moja Hujui unachokifanya, pili unataka mteremko kwa kumpotezea muda kijana utakaefanya nae kazi.
Ni mawazo yako hakuna anayekuzuia kusema.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom