teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Wazazi msiwaache watoto wenu walelewe na mitandao na teknolojia, waleeni ninyi wenyewe taifa linaangamia!

    Waziri wa TEHAMA Mh. Nape amewasihi wazazi wa KKKT Kijitonyama, kuwalea watoto wao wenyewe na wasiwaache walelewe na mitandao na teknolojia kwani hali ya kimaadili kwa sasa ni mbaya. Nape ambaye aliongozana na Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Kanisani hapo kwa mchungaji kiongozi Dr Kimaro, amesema...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia

    UTANGULIZI; Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha” Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu? Elimu ni njia ambayo jamii hutumia kupitisha maarifa,ujuzi,taarifa kutoka kizazi kimoja au kingine Elimu...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na teknolojia itumike ipasavyo kuleta manufaa na tija inayohitajika

    UTANGULIZI. Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya siasa, elimu, pamoja na masuala ya kijamii. Teknolojia NI ujuzi wa kutumia vyombo (mashine) Ili...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha mapya ya Teknolojia

    MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujifunze Teknolojia kuanzia sasa na kuendelea

    Utangulizi Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na tunaelekea wapi. Pia kujifunza teknolojia itakusaidia kuelewa na kutatua matatizo madogo na hata makubwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia

    Ukuaji Wa Sayansi Na Teknolojia. Awali ya yote tunatakiwa tujue nini maana ya Sayansi na Teknolojia,na ndani ya Sayansi na Teknolojia Kuna kitu gani na kitu gani na vina umuhimu gani ama na mchango katika maisha au mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Tukianza na Sayansi kiujumla ni maarifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025, nasi watanzania tutumie vifaa vya teknolojia (TIEMS). Vinginevyo...

    2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3. 1. Katiba itabadilishwa. 2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa. 3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kutumia maji kwenye Injini ipo?

    Habari zenu Wana jf? Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani. Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Chemsha bongo! Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu kiujumla lakini bado yameacha malumbano makubwa dhidi ya vijana mbalimbali? Ukweli ni kwamba vijana...
  13. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya Sensa ya 23, Agosti 2022, Tuhamie kwenye Sensa Endelevu. Teknolojia imekua

    UTANGULIZI: Sensa ya watu na makazi ni nini? Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia

    Mataifa makubwa na ya kati tunayoyaona leo yaliwekeza kwenye Sayansi na teknolojia,ndipo yalipofikia apa tunapoyaona.Ili taifa letu la Tanzania kuweza kukua halina budi kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia kwa kukuza na kuendeleza vipaji vya wabunifu wetu. Katika taifa letu tumesikia wabunifu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Faida za Sayansi na Teknolojia ni zipi? Ni jinsi gani tunaweza kunufaika na Sayansi na Teknolojia kwenye jamii?

    UTANGULIZI SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia Tanzania

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA TANZANIA Katika nchi yetu ya Tanzania sayansi na teknolojia imekua chini sana na imekua vigumu katika kuboresha sayansi na teknolojia kwani nchi nyingi za afrika tupo nyuma katika suala zima la sayansi na teknolojia ila kwa upande wa Tanzania serikali imekua ikiboresha mara...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa kulipa mishahara waajiriwa wapya wa Serikali kwa kila mwaka wa ajira unahitaji kuboreshwa uendane na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA Imeandaliwa na Rahul (CEO @RahulComputerService) UTANGULIZI Hii ni habari fupi ambayo itaeleza kuhusiana na SAYANSI NA TEKNOLOJIA ambapo tutaangazia mambo mbalimbali kuhusiana na maendeleo ya sayansi na Teknolojia pia tutaangazia pamoja na hasara na faida zake na nini...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia chanya juu ya matumizi ya gesi majumbani, maofisini na migahawani

    TEKNOLOJIA JUU YA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI, OFISINI NA MIGAHAWANI Naitwa Solomon Bandio ni kijana wa miaka 25 mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nikitunukiwa digrii ya sanaa katika sosholojia. Ni mtanzania na ninaishi Dar es Salaam kama makazi yangu ya kudumu. Napenda kuwasilisha andiko...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi ya teknolojia ya viumbe hai wadogo (Bacteria na Archaea) katika uchimbaji madini katika kutunza mazingira na viumbe hai

    DIBAJI Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu juu ya ardhi na kusababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha baadhi ya jamii ya mimea kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…