Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
Habari 👋
Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari.
Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
Katika enzi hii ya teknolojia, kila siku tunaona mabadiliko mapya katika maendeleo mapya. Kasi ya kuvutia tunayoona, haswa katika teknolojia ya mawasiliano inashangaza sana. Na hapa ndipo 5G inapoanza kucheza. Lakini kabla ya kuingia kwenye mada, lazima tuelewe ni nini 5G kwanza. Kwa hivyo, bila...
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.
Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.
Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira.
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
Aliyetupwa katika dangulo la takataka sasa ni milionea - BBC News Swahili
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Freddie Figgers alikejeliwa kama mtoto "aliyenenepeana kwa kula " vyakula vyenye mafuta lakini aligeuka kuwa milionea mbunifu.
Kwa mujibu wa orodha ya hivi karibuni ya watu...
Habari!
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Kichina Huawei (Huawei Technologies Co., Ltd.) imezindua mradi wa ufugaji wa nguruwe kupitia teknolojia ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) Jumatatu wakati kampuni hiyo ikigeukia katika maeneo mengine ya kibiashara wakati biashara yake ya simu janja...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni.
Akizungumza katika mahojiano na...
Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio.
Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa.
Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila...
Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu zifuatazo:
1. Mawasiliano ya kibiashara, kimalipo, ukusanyaji mapato, maduhuli,matangazo ya kibiashara...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni.
Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
Hakuna kitu kimefanya nimuamini Mungu wangu kama maneno yake yaliyonenwa na yeye huyo huyo mungu kwenye moja ya vitabu vyake vitakatifu karne nyingi zilizopita na kwa uwezo wake usio kifani yakatimia
Sikuwa na shaka pale nilipopitia miongoni mwa vitabu vyake huyu mwenyezimungu chenye maneno...
Serikali ya Uchina imerusha satelaiti angani katika harakati za kufanya majaribio ya teknolojia mpya ya 6G. Ikumbukwe mpaka kufika mwaka 2019 wao ndiyo wamekuwa taifa lililo mbele zaidi kwenye teknolojia ya 5G.
Ina maana kama wakifanikiwa kuwa wa kwanza kwenye teknolojia ya 65 basi anaweza...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini bado tunaendelea kupakana wino/rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)?
(1) Nini mantiki ya kupaka rangi kidole cha mpiga kura...
Salaam,
Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata mawife wasichungulie mle,so content yoyote unashare na wana,privacy guaranteed
That's not a...
Habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu ya Tanzana (BoT) uchumi unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.5 mwaka huu wa 2020. Habari hii inafuatia habari nyingine iliyotangazwa Julai ambapo Benki ya Dunia (WB) ilisema kuwa Tanzania imefanikiwa kuingia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.